Hii kitu apana kabisa....Kwahiyo mkuu ukaamua kusaliti chama kwasababu ya wajawazito kufukuzwa shule, hongera sana mkuu ulipigania hili jambo naona ss bibi NGO karuhusu, now mwanao huna haja ya kumzuia asipate mimba, na nategemea ss tutaendelea na battle hili jambo limekwisha ss.
Source; Jamii Forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya hamna akili
Ngoja nikupe shule on what I posted siku nyingine usilete ubishi kwenye lugha za watu. Normal means conforming to usual standards or regular pattern which is considered usual, typical or routine. Hilo daraja lenu ni normal in that sense it signifies typical or routine bridge design.Wewe ndio kiingereza chako kibovu. Every bridge is supposed to be normal. Sasa mtu akipost bridge na ucomment it's normal ni upuzi gani Huo? Yani direct translation from Kiswahili alafu unajiona gwiji wa lugha kisa umejifunza neno normal. [emoji706]
Unakifahamu unachokiongea au unaongea tu ku comment? Slums ni unplanned settlement.Tukiacha ushabiki, kugeuza slums kuwa formal settlement ni rahisi kuliko kurekebisha unplanned settlement kuwa planned settlement. Gharama ya kuipanga Dar es Salaam kisasa ni kubwa kuliko kuibadirisha Kibera kuwa satelite city so tusiwacheke sana majirani zetu……”Huu ndio ukweri……” kwa sauti ya JPM.
Sasa quality ya copy na original si huwa inajulikana [emoji23][emoji23][emoji23]Majengo marefu yote ya Nairobi ni copy and paste, hakuna jengo hata moja walilolisanifu kwa akili zao, cha kushangaza ss hayo majengo wame copy and paste lkn most of them ni ugly cz hayako km yale waliyoiga. Wakenya hawana akili.
Rudi kibera ukalale jua kali weweMarefu yote Dar yamebuniwa na Wakenya.
Madeni mzigo baba [emoji119]Maskini Kenya wanazidi kupoteana ,Tzn shilling inagain strength dhidi ya dollar wakati Kshilling inaanguka ..
Mtaelewa shoo mwaka huu [emoji116]
View attachment 2022748
View attachment 2022749
Kama wavivu ndio wanakulisha !! Je wewe unae lishwa unakuwa kwa kundi gani?...Shida yenu ilianzia hapa kwenye huu utafiti, soma huu uzi, uzembe wenu ndio umesababisha tuwazidi mara mbili kiuchumi na mzalishe omba omba wengi wanaotuchafulia miji yetu.
Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu
Posted on January 1, 1990 by editor Tanzanian workers are lazy and unproductive says Tanzania’s National Productivity Council (NPC) quoted in ‘Business News’ on September 29th 1989. The NPC Executive Secretary, Mr Nikubuka Shimwela attributes the trend to a lack of a productive culture in the...www.jamiiforums.com
Tatizo serikali pumbavuuu kushindwa kuplani makaazi ya watu babla ya kujengwaTukiacha ushabiki, kugeuza slums kuwa formal settlement ni rahisi kuliko kurekebisha unplanned settlement kuwa planned settlement. Gharama ya kuipanga Dar es Salaam kisasa ni kubwa kuliko kuibadirisha Kibera kuwa satelite city so tusiwacheke sana majirani zetu……”Huu ndio ukweri……” kwa sauti ya JPM.
huko ndiko Mkoloni aliko mtengea mtumishi yake, yani waNubi. na hivyo ndivyo Kibra ilianza kukua polepole. yani mnyonge alikua ametengewa sehemu flani,Aisee kumbe slums za Kenya ziko kwenye mipango miji eti well defined and well structured so we should see more of these slums coning into existence everywhere kwasababu ndio urban planning yao.
Unakifahamu unachokiongea au unaongea tu ku comment? Slums ni unplanned settlement.
Central Bank please please tia bidiiMaskini Kenya wanazidi kupoteana ,Tzn shilling inagain strength dhidi ya dollar wakati Kshilling inaanguka ..
Mtaelewa shoo mwaka huu 👇
View attachment 2022748
View attachment 2022749
Utamu wa Nairobi haukamiliki bila ktuonyesha japo sehemu ndogo tu ya slums zenu.😀😀😀😀
Jamani hapa ni Tokyo au mimi ndio sioni vizuri?😀😀😀😀Welcome to the fast growing city in East Africa View attachment 2022932
Ikifika 2030 wakenya sio level zetu tutakuwa tunacompete na South Africa au Egypt 😄😄Jamani hapa ni Tokyo au mimi ndio sioni vizuri?😀😀😀😀
Kwamba slums wanavunja tu hakuna kulipa mtu chochote au malipo ni kidogo sana kulingana na value ya nyumba na ardhi? Any way issue hapa ni slums versus unplanned settlements hayo mambo ya gharama za kugeuza sehumu husika kuwa planned settlement inatagemea kama kutafanyika total eviction au ni zile nyumba tu zitakazohusika au zitakazoguswa though hoja yako ina hold waters.Tukiacha ushabiki, kugeuza slums kuwa formal settlement ni rahisi kuliko kurekebisha unplanned settlement kuwa planned settlement. Gharama ya kuipanga Dar es Salaam kisasa ni kubwa kuliko kuibadirisha Kibera kuwa satelite city so tusiwacheke sana majirani zetu……”Huu ndio ukweri……” kwa sauti ya JPM.
Jiji la kibabe kama NYWelcome to the fast growing city in East Africa View attachment 2022932