Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Mimi nakwambia tofauti ya dar na mombasa ni uswazi tu, mombasa Iko juu na mbali sana.We unavyojua Mwanza kuna Madaraja mangapi.? Mzee wa kujifanya unaijua tz 😂😂😂hiyo mombasa level yake ni Mwanza tu kijana
Jiji lolote duniani lisilo na miundombinu ya kisasa kama BRT system, cable stayed bridges, modern Airpots or electric sgr basi hilo jiji liko stone age.Mimi nakwambia tofauti ya dar na mombasa ni uswazi tu, mombasa Iko juu na mbali sana.
Heb taja kitu ambacho unafkiri Mombasa inaizidi MwanzaMimi nakwambia tofauti ya dar na mombasa ni uswazi tu, mombasa Iko juu na mbali sana.
Kwahiyo mkuu ukaamua kusaliti chama kwasababu ya wajawazito kufukuzwa shule, hongera sana mkuu ulipigania hili jambo naona ss bibi NGO karuhusu, now mwanao huna haja ya kumzuia asipate mimba, na nategemea ss tutaendelea na battle hili jambo limekwisha ss.Now that’s what I’m talkin’ about! [emoji1433][emoji1433][emoji1433]
Elimu haibagui. Ni haki ya kila Mtanzania, including pregnant teens. Magufuli’s decision to ban pregnant girls from school was ridiculous, pathetic, and unreasonable.
Nimehama Chama? Unadhani mimi ni zezeta wa CCM? CCM Ndio chanzo cha matatizo yote ya Tanzania na Ndio sababu hadi leo tupo kwenye hali ya chini ya kiuchumi.Kwahiyo mkuu ukaamua kusaliti chama kwasababu ya wajawazito kufukuzwa shule, hongera sana mkuu ulipigania hili jambo naona ss bibi NGO karuhusu, now mwanao huna haja ya kumzuia asipate mimba, na nategemea ss tutaendelea na battle hili jambo limekwisha ss.
aa wapi? sema tu ime mix sana, yani imekua scattered allover till imekua diluted, ndio mnajua iko, lakini mnajua hatuwezi tambua. waTz kuficha vitu chini ya waba, wacha tuTz hakuna slums mkuu.
Ndio maana nasema jambo lako tayari limerudishwa so unaweza kurudi kwenye battle.Nimehama Chama? Unadhani mimi ni zezeta wa CCM? CCM Ndio chanzo cha matatizo yote ya Tanzania na Ndio sababu hadi leo tupo kwenye hali ya chini ya kiuchumi.
Of course kuna vitu vizuri vinvavyofanywa na viongozi wa nchi ambao pia ni viongozi wa CCM, lakini ideology ya CCM na historian yake ni uchafu mtupu.
Halafu, nilishaongea kabla na nitarudia tena. Kuzuia mtoto kurudi shule ni kumsukuma kwenye shimo la umasikini. Especially mtoto wa kike. Watoto wengi wanaopata ujauzito Sio kwamba wanataka kupata ujauzito, ni kwasababu hawapati elimu ya uzazi shule na kutoka kwa wazazi wao. Pili, wengi wao wanarubuniwa na watu wazima! Kwa hiyo umasikini pia unachangia! Unafikiri kwanini zamani kulikuwa na matangazo yanayoonyesha watoto wa kike wakirubuniwa kwa Chipsi? Halafu pia kuna ubakaji! Tuna Hizi kesi za ubakaji Mara kwa Mara zinaishia chini chini bila kuripotiwa kwenye vyombo husika.
Hapa tunaongelea kuhusu watoto wenye umri chini ya Miaka 21! Ukimzuia mtoto mdogo namna hii kusoma, unampeleka wapi? Kujiuza? Kuwa house girl? Unamnyima fursa ya kumi endelea za kimaisha! Na huu ni upuuzi namba 1.
Wewe endelea na battle zako za slums.Kwahiyo mkuu ukaamua kusaliti chama kwasababu ya wajawazito kufukuzwa shule, hongera sana mkuu ulipigania hili jambo naona ss bibi NGO karuhusu, now mwanao huna haja ya kumzuia asipate mimba, na nategemea ss tutaendelea na battle hili jambo limekwisha ss.
Sio “jambo langu” Bali ni jambo la nchi yote. Nilipigania jambo hili kwasababu nilijua kuwa linaipeleka nchi mahali pabaya.Ndio maana nasema jambo lako tayari limerudishwa so unaweza kurudi kwenye battle.
Sasa mkuu hii battle ya wanawake ina jukwaa lake kule, jukwaa la wanawake, anyways tuachane na hii mada, nmekuelewa.Wewe endelea na battle zako za slums.
Vitu vya muhimu hutaki kuongelea kwasababu ya itikadi zisizo na msingi. Idadi ya Wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume kwenye karibu kila nchi. Elimu Kwa Wanawake ni mwanzo mzuri wa kuleta maendeleo. Lakini nchi inayozuia kuwapa elimu Wanawake ni nchi isiyoelewa jinsi Wanawake wanavyoweza kuleta mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi!
Sawa.Sio “jambo langu” Bali ni jambo la nchi yote. Nilipigania jambo hili kwasababu nilijua kuwa linaipeleka nchi mahali pabaya.
Wewe Jamaa ni misogynist. Huna mama au dada? Huna mwanamke yoyote unayemthamini maishani? Ungependa kuona mwanamke anatupwa kwenye umasikini? Kinachokuogopesha ni nguvu ya wanawake.Sasa mkuu hii battle ya wanawake ina jukwaa lake kule, jukwaa la wanawake, anyways tuachane na hii mada, nmekuelewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umembana pumbuWewe endelea na battle zako za slums.
Vitu vya muhimu hutaki kuongelea kwasababu ya itikadi zisizo na msingi. Idadi ya Wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume kwenye karibu kila nchi. Elimu Kwa Wanawake ni mwanzo mzuri wa kuleta maendeleo. Lakini nchi inayozuia kuwapa elimu Wanawake ni nchi isiyoelewa jinsi Wanawake wanavyoweza kuleta mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi!