The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Picha ulizoweka c ndio hizi au sio? Ss zote hizo zipo kwenye picha moja tu hapo chini[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just like I predicted [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa Kwanzaa ndio huyu hapa ashatafuta picha ya Kibera kujiliwaza nayo. Wa pili na wa tatu wapo njiani
sasa kama kuna tatizo mbona aihimize watu wazaliane au madarasa ya shule za awali (chekechea) hamyahesabu?Mkuu kauli ya kuzaliana aliisema katikati ya uongozi wake sio mwanzoni, lakini hata Kama alisema 2015, haina maana mwaka huohuo wanawake watapata unauzito na kujifungua mwaka huohuo.
Tatizo la uhaba wa madarasa ni tatizo sugu toka enzi za utawala wa awamu ya pili, watoto kusomea chini ya miti na kukaa chini lilikua kubwa Sana kipindi cha Kikwete.
Ss kama nchi ina nafasi ya kufanya hivyo kwnn tusizaliane, umaskini co sababu ya kutozaana, nchi ina mali nyingi lkn mwendo wake haulidhishi wacha wenye akili wazaliwe wa exploit resources.sasa kama kuna tatizo mbona aihimize watu wazaliane au madarasa ya shule za awali (chekechea) hamyahesabu?
High class NairobiTunasubiria middle class areas dar
I see houses with road access.African middle class areas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2019461View attachment 2019462
Leta ya other 29 remained slums tupate better than KiberaUnakumbuka nikisema mtakimbilia pics za Kibera? Predictable fools! π
Kitu cha Kisumu hiki mwanangu πππHuwa tunaziita picha za upande upande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakuambia hiyo sio Nairobi wala Kenya Bali ni Kibera ππππHahahaha, hii ni picha ya Nairobi,,[emoji23][emoji23][emoji23]
How's that supposed to be my business? Hiyo ni kazi yenu coz Dar yenu mnaweza compare tu na slums za NairobiLeta ya other 29 remained slums tupate better than Kibera
Pictures za magereza ya marekani zimepigwa roba na slums everywhere πππPicha ulizoweka c ndio hizi au sio? Ss zote hizo zipo kwenye picha moja tu hapo chini[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2019661View attachment 2019668View attachment 2019670View attachment 2019678
Kiongozi unajua kweli mambo ya chumbani kwao dah mdogomdogo wasije wakakimbia uzi tuuMwambie akupe slums kariadudu,glucolar,gonga njaa na kasabuni tuonee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa pili ndio huyo sasa. Tunangoja wa tatu na wa nne πPicha ulizoweka c ndio hizi au sio? Ss zote hizo zipo kwenye picha moja tu hapo chini[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2019661View attachment 2019668View attachment 2019670View attachment 2019678
Linganisha hizo picha za magereza na hizi dreamhouses zenu kisha utulize kendePictures za magereza ya marekani zimepigwa roba na slums everywhere πππ
Dream houses versus luxury homes πππLinganisha hizo picha za magereza na hizi dreamhouses zenu kisha utulize kende View attachment 2019716View attachment 2019717