Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu inaitwa Langata slum bongolala, wacha kusumbuka na Nairobi, utapasuka msamba. Kibera slum (which remains your only weapon here) is the only slum near Lang'ata. Kibera ilikuwa ndani ya Lang'ata Constituency kabla ya kugawanyishwa.
 
Onesha sehemu Magu akitoa kauli hyo 2015, alafu ona ulivyo zuzu toka 2015 mpk 2016 ni miaka 6[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]


Wakenya hamna akili
2015 mpaka 2021
 
Hakuna kitu inaitwa Langata slum bongolala, wacha kusumbuka na Nairobi, utapasuka msamba. Kibera slum (which remains your only weapon here) is the only slum near Lang'ata. Kibera ilikuwa ndani ya Lang'ata Constituency kabla ya kugawanyishwa.
Nenda uka update google, ww c bingwa wa Google updation!!!
 
Hakuna kitu inaitwa Langata slum bongolala, wacha kusumbuka na Nairobi, utapasuka msamba. Kibera slum (which remains your only weapon here) is the only slum near Lang'ata. Kibera ilikuwa ndani ya Lang'ata Constituency kabla ya kugawanyishwa.
Kibera ni the only weapon kwamba Kenya nzima slum ni Kibera tu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii Kibera ni overrated tu, Kenya kuna maslums makubwa yanayo accomodate more than 2.5mil Slum dwellers wanaoishi pale Kibera[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…