Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Mulizisahau wakati hakuna ukame,lakini kukiwa na ukame vipi mtazisahau?acha upimbi
kwani kwenye hii nchi Rais alikuwa ni magufuli peke yake?
hizi mambo za kukatika katika kwa umeme hovyo tulishazisahau haya mambo yalikuwa enzi za kikwete,
kwa kuwa kikwete amekuja kuongoza nchi kivingine tutegemee mengi tu kutokea na wewe kama panya utakuwa ni shahidi namba moja kushuhudia na kunasa kwenye mtego wenye nyama,picha ndiyo kwanza limeanza kila kiongozi anamapungufu yake hivyo kuna mazuri na mabaya siyo unakuja hapa kusifia mambo kitoto
sasa ulitegemea hizi mbalanga ziendelee?,,Mulizisahau wakati hakuna ukame,lakini kukiwa na ukame vipi mtazisahau?
Pimbi ni wewe na yule mtu wenu mliyekuwa mnamlamba nyayo,saizi mama kaacha watu watumie bongo zao kufanya Kazi ndio maana mambo yanaenda.
Hata huo umeme by June next year hizo mambo zitaisha kuwe na ukame au usiwepo.
Nguruwe ni wewe na huyu hapa Aliyekuwa anawaswaga 👇sasa ulitegemea hizi mbalanga ziendelee?,,
we kweli kibofu
na isitoshe mi sina upande ukizingua nakuponda ukipatia nakupa sifa zako,siko kama wewe mwenhe ubongo wa nguruwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umefanana naye ana ndonga kama lakoNguruwe ni wewe na huyu hapa Aliyekuwa anawaswaga [emoji116]
View attachment 2017289
View attachment 2017290
Sisi tumekubali wewe je? 👇[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umefanana naye ana ndonga kama lako
Soma mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu. Tumewashinda kwenye kila kitu. Tumewadouble kwenye kila kitu. Kuanzia airport passengers to port cargo volumes.Weka ushahidi. Na usisahau tumeongoza kwenye FDI, kama pia mna FDI kubwa weka ushahidi.
50/50,tumpe mda bado anasafari ndefu ya kipimo
Kwa mambo matamu kama haya kipimo gani unataka? 👇50/50,tumpe mda bado anasafari ndefu ya kipimo
Onesha sehemu waliposema hakuna maji.
Wakenya hamna akili
haina haja ya kipimo yupo vizuri,mama ni noma nimemvulia kofia mpaka kichwaKwa mambo matamu kama haya kipimo gani unataka? [emoji116]
View attachment 2017308
View attachment 2017309
View attachment 2017310
View attachment 2017311
View attachment 2017312
Nickel ,cobalt na Madini mengine yatachenjuliwa Tanzania kwa kutumia teknolojia mpya na gharama nafuu ya kutumia kemikali na sio moto au joto Kali .huu mgodi mama awe mjanja bas.. awaite hao investors wajenge viwanda hukuhuku.. wasiruhusu resources kwenda nje
View attachment 2016513
So hapo ndio wameandika hakuna maji? Au kizungu ndiyo hujui, shortage of.... co sawa na lack of......Tafuta mtu akutafsirie hii hapa, ikiwa wenye zao huko Sea Cliff wanateseka hivi, jameni maskini walalhoi kama wewe Tandale lazima mnakoma aisei.
Inaitwa Mjinga mpe sifa mentality[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haina haja ya kipimo yupo vizuri,mama ni noma nimemvulia kofia mpaka kichwa
Danganyika hakuna freedom ya media kama huwezi chora cartoon kama hii bila kuulizwahuo ni upuuzi,hiyo si freedom of media mzee,sheria zipo huo ni uzalilishaji tena kwa raisii wa nchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]
Nini kinakusumbua raila akikua rais wa Kenya? Wewe sio mpiga kura huku so hakuna kitu unaweza amua. Stick to CCM.Umeona ulivyo huna akili, kwahiyo unategemea nini endapo Odinga atashinda uchaguzi?
Wakenya hamna akili
eti freedomDanganyika hakuna freedom ya media kama huwezi chora cartoon kama hii bila kuulizwa View attachment 2017386
So hapo ndio wameandika hakuna maji? Au kizungu ndiyo hujui, shortage of.... co sawa na lack of......
Wakenya hamna akili