wakenya ni vitukoWazee wakurebase kila baada ya Muda mfupi.Mimi hua nashangaa Sana Kenya amezidiwa na Tz in terms of credit lakini GDP yake kubwa.GDP yao haireflect ukubwa huo.Kitu pekee wamebaki nacho ni udalali sugu[emoji3][emoji3][emoji3]
Niliwahi kusikia mahali akisema kuhusu nchi moja ya Amerika ya Kusini kuwa, " hata kama inchi hiyo itapinduliwa ili yeye apate madini ya betri zake haina shida".Tanzania ina Resources zote ambazo directly zinahusiana na harakati za Elon Musk.
Wafanye tu mpango wakumtongoza huyu mwamba ili kama akiwa na mpango wa kuwekeza Africa basi Tanzania ๐น๐ฟ Iwe kipaumbele kwake.
Looks ww ndio mpuuzi coz unatanguliza matusi kwangu while hamna nilipokutukana,unadhani humu kila mtu angeanza kutukana au kuongelea siasa huucuzi wa kuzuka wewe wala usingeukuta,watu tuko kwenye huu uzi since day 1 annael anauanzisha binafsi sijawahi kuitwa mpuuzi sijui mpumbavu,tunaheshimiana humu na kuna watu kupitia uzi huu tumekua marafiki hadi nje ya jf,but wewe ukija na siasa zako na yule mwenzako mtu akikuweka sawa utamuita kila jina la ajabu na matusi juu,imagine kila mtu angekua na hulka kama wewe pangekua vipi humu,badilika mzeeWewe ni mpuuzi aliye uliza mambo ya umeme wa gesi ukumuambia kuwa ili siyo jukwaa la hivyo ...mimi niliye mjibu unanishutumu kuwa siyo jukwaa la siasa ,
Mwenye hana akili ni wewe unayefikiria mwenye hafi njaa ni tajiriWakenya hamna akili, ss hapo kitu gn hujaelewa? Au rudi kwenye comment yng uliyoikoti soma tena alafu niulize upya.
Data zetu? ๐ ๐muache porojo,
80% of kenya data zenu haziendani na uhalisia kimaisha
mpo na cooked data za kutosha
Sisi hizo sio shida zetu, tunachokijua ni kwamba nyinyi ground hamtoboi pande zetuData zetu? ๐ ๐
Kwa hivyo WB na African Development Bank ni za wakenya?
Tufanye kumtag kule twitter tukizungumzia kabanga Nickel.Niliwahi kusikia mahali akisema kuhusu nchi moja ya Amerika ya Kusini kuwa, " hata kama inchi hiyo itapinduliwa ili yeye apate madini ya betri zake haina shida".
Nikumbushe tajiri aliyewahi kufa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenye hana akili ni wewe unayefikiria mwenye hafi njaa ni tajiri
WB na AfDB wanatoa wapi data, Wakenya hamna akili.Data zetu? [emoji23] [emoji23]
Kwa hivyo WB na African Development Bank ni za wakenya?
Tatizo ni wahusika wetu wa sasa, je wapo makini kupata dili la maana?Tufanye kumtag kule twitter tukizungumzia kabanga Nickel.
Ndio maana nikakuuliza inamaanisha hata wewe ambaye hujafa njaa ni tajiri?Nikumbushe tajiri aliyewahi kufa njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa unadhani wanapataje data bila kupata vyanzo vya data kutoka nchi husika?Data zetu? [emoji23] [emoji23]
Kwa hivyo WB na African Development Bank ni za wakenya?
Wanazitoa wapi bongolala?WB na AfDB wanatoa wapi data, Wakenya hamna akili.
Kwahiyo mimi co tajiri! Unayajua maisha yangu?Ndio maana nikakuuliza inamaanisha hata wewe ambaye hujafa njaa ni tajiri?
kabisa huo ndiyo ukweliSisi hizo sio shida zetu, tunachokijua ni kwamba nyinyi ground hamtoboi pande zetu
Wanazitoa kwa gate man.Wanazitoa wapi bongolala?
Kitu hamuelewi ni kwamba hayo mashirika mawili do their own analysis of the figures they get from the respective countries to ascertain the correctness of that data before publishing them ndio maana data wanazotoa ni vigumu kupata mtu anazipinga (save for Tanzanians of course ).sasa unadhani wanapataje data bila kupata vyanzo vya data kutoka nchi husika?
acha upimbi
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kwahiyo mimi co tajiri! Unayajua maisha yangu?
Wakenya hamna akili