Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao ni mafisadi wenye kumiliki malori na wadau wa kuuza mafuta ya magari ndiyo wanapiga vita sgr ya umeme
 
Kwahiyo mpo 50mil? Kwamba mliacha kupigana mpini, Kenya mpo over 55mil.
Wacha tu nikufurahishe.
40% of 55m is 22m. Swali bado inabaki pale pale: kati ya 22m na 28m gani nyingi?

Mtatafuta kila aina ya kisingizio a vijisababu lakini number bado mtasoma
 
Mumepigwa mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km daraja la waenda kw miguu tu, contractor Mungu anamuona walai..
Haiwezekani daraja liwe la kiboya hvo bana
komora096 nakuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulivyo fura kibera[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061]
 
Naona imekuumaee, ukweli mchungu aisee
 
Projects zinakuja bro wait alafu vikishindikana ndio tulaumu, tupo pazur sana mbona, let's wait and see
 
Projects zinakuja bro wait alafu vikishindikana ndio tulaumu, tupo pazur sana mbona, let's wait and see
Nime kunoti .....mm nitavuta subira ila mambo yakiwa magumu tusije tukakimbiana kwenye huu uzi maana nyinyi mnaosema hivyo hatuta waona mkitetea jahazi la huu uzi
 
Kwani ilo neno sijui dwaft ni gani naona toka ulifume kwenye mtihani wa manesi sijui madokta wa inglishii mliopata sifuri wote isipokuwa wachache [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona kila mada ni dwafitiiiiii
Daraja lenu ni dwarf mzee hata uruke tuke vipi wala ukweli hautobadilika[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unawaibisha kijana...eti "lipstick vs uhalisia"

Mkuu ila photo analysis skills yako ni hatariiiii
 
Daraja lenu ni dwarf mzee hata uruke tuke vipi wala ukweli hautobadilika[emoji1787][emoji1787]
Daraja linakuumiza kichwa hilo, huamini macho yako 😂😂😂.. owky endelea kuumia kidogo 👇daraja lingine👇and guess what, haya Madaraja hapa DSM yatajengwa matatu, mawili kama unavyoyaona, bado moja, utaumia sana mdogo angu, mambow ndio kwanza yameanza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…