Sisi tulimleta Kim Jong Un na hatukupiga keleleKwa nini hakuenda South Sudan au Somalia au hata Tanzania? Hadhi ya Kenya iko juu bro. Kubali ukatae Kenya iko ligi ya juu na hata Wazungu wanajua.
huo ndiyo ukweli 89%Tatizo umeotoa data akilini mwako, sasa wewe unafikiria kile unachowaza katika ubongo wako basi ni kwel
Haaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ilo daraja ni refu siyo fupi sema linaonekana fupi kwa sababu ni kubwa sanaDwarf[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km footbridge tu manake sio ufupi huo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzee umewaandalia misumaliTuko na mjadala wa data za shoga yako kwanza. Hebu tusaidie kuzichanganua bhas maaana wewe uko mombasa hapo tuambie ni mizigo gani mna import Kwa volume kubwa hivyo for just local consumption.
So unamaanisha kwamba SGR bado inajengwa hadi wa leo ama argument yako ni nini? This year alone, Mombasa port handled 9.54m tonnes in the first quarter of this year (the first three months), which is a 10% increase compared to a similar period last year. Assuming the figure remains constant throughout the year, that would be around 38m tonnes in 2021.Vingi vilikuwa vyuma vya sgr vya kaka yenu mchina
ndoto za global warming[emoji1787][emoji1787][emoji1787] likifunikwa hilo ,jua basi mombasa na kenya nzima itakuwa bahariGlobal warming and rising sea water levels itafunika izi zote by 2100
πππ Bro wageni wakitembea nchini kwenu unamaanisha uchumi au.?Kwa nini hakuenda South Sudan au Somalia au hata Tanzania? Hadhi ya Kenya iko juu bro. Kubali ukatae Kenya iko ligi ya juu na hata Wazungu wanajua.
Unamaanisha hawa maskini ama?Nataka ukubali kwamba maskini wa NAIROBI akija DSM atakufa, hawezani .. maskini wa NAIROBI ako na hali mbovu zaidi kulinganisha na maskini wa Dar, since maskini wa NAIROBI wanaishi kwenye nymba zenye kuta za mabati.. πππ
Let's data kijana.. bla bla bla .. unajamba tuSo unamaanisha kwamba SGR bado inajengwa hadi wa leo ama argument yako ni nini? This year alone, Mombasa port handled 9.54m tonnes in the first quarter of this year (the first three months), which is a 10% increase compared to a similar period last year. Assuming the figure remains constant throughout the year, that would be around 38m tonnes in 2021.
Kubalini kwamba kwa hili tumewashinda instead of looking for flimsy excuses
Hujaona hiyo link hapo chini bongolala? Ama unafikiri sisi ni kama nyinyi mnaotoa data akilini?Let's data kijana.. bla bla bla .. unajamba tu
πππ, Unaogopa nini we kijana kubali ukweli kwanza.. watu wenu wanaishi kwenye nyumba za mabati, ni uongo.?Unamaanisha hawa maskini ama?View attachment 2014052
Unataka nikubali ukweli gani mbali na data ya WB?πππ, Unaogopa nini we kijana kubali ukweli kwanza.. watu wenu wanaishi kwenye nyumba za mabati, ni uongo.?
Nataka unijibu, watu wenu wanaishi kwenye nyumba za mabati, kweli au sio kweli.?Hujaona hiyo link hapo chini bongolala? Ama unafikiri sisi ni kama nyinyi mnaotoa data akilini?
Hahaha. By the way TZ ilikuwa na very close friendship na North Korea zamani.S
Sisi tulimleta Kim Jong Un na hatukupiga kelele
Maskini wa NAIROBI wanaishi kwenye nyumba za mabati ni kweli au uongo.?Unataka nikubali ukweli gani mbali na data ya WB?
Ndio. Anatembelea nchi zenye heshima na hadhi kubwa hapa Afrika. Anatembelea Senegal, Nigeria na Kenya. Nchi zote tatu zina uchumi dhabiti na ni superpower katika region zaoπππ Bro wageni wakitembea nchini kwenu unamaanisha uchumi au.?
Owky kwahyo unakubaliana kwamba viongozi wa kigeni wakikutembelea (nchini mwako) maana yake ni uhusiano mzuri kati yenu na wao na haimaanishi kuwa mnatembelewa kwasababu ya nchi yenu kuwa na uchumi mkubwa sindio kaka Tony.?Hahaha. By the way TZ ilikuwa na very close friendship na North Korea zamani.
πππ, Superpower maviNdio. Anatembelea nchi zenye heshima na hadhi kubwa hapa Afrika. Anatembelea Senegal, Nigeria na Kenya. Nchi zote tatu zina uchumi dhabiti na ni superpower katika region zao
Makomunisti TZ na DPRK nyie hamuangalii uchumi wala pesa. Makapitolisti Kenya na US tunatilia maanani maswala ya uchumi.Owky kwahyo unakubaliana kwamba viongozi wa kigeni wakikutembelea (nchini mwako) maana yake ni uhusiano mzuri kati yenu na wao na haimaanishi kuwa mnatembelewa kwasababu ya nchi yenu kuwa na uchumi mkubwa sindio kaka Tony.?
Tumewashinda kwenye maswala ya uchumi. Inabidi sie tuwe baba yenu. Tunapokea wageni kwa niaba yenu na Uganda. Kwenye nyumba baba ndiye huwa anapokea wageni sio watoto.πππ, Superpower mavi