Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na walikuwa wanatuchalaza kisawa sawa,ona jinsi thread ilivyoanza 2017 mpaka sasa,utagundua kabisa ni jiji gani lililo chsnge fasta
 
Maneno ya mkosaji. Huenda hizo low quality yanatufaa. Swali ni je, kati ya hizo low quality zetu na zile dreamhouses zenu gani afadhali?
Heb ngoja nikunyooshee maelezo .. kwenu NAIROBI kuna makazi ya namna tatu, ..
1. Makazi ya watu wa kipato cha juu
2. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (hizo low quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha juu (apartments)
4. Makazi ya mchokoraa/choka mbuvu (slums) nyumba zenye kuta za mabati
Vs DSM
1. Makazi ya kipato cha juu
2. Kipato cha Kati cha juu (quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (dream houses)
3. Makazi ya watu wa kipato cha chini (unplanned settlements) ..

NB: Maskini wa Nairobi ako na hali mbaya zaidi kulinganisha na maskini wa Dar es Salaam since DSM hakuna mtu anaishi kwenye mabati
 
We mbona muongo muongo wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, we unazungumzia data za miaka miwili iliyopita au haujui kuwa tupo 2021
Hii story ya markets siku hizi hawaguzi tena. Just the same way ya mahospitali waliachana nayo kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba battle ya Hospital mlitupiga .? Lini.? Battle ya hospitals Tuliwapiga hapa hands down.. nataka ujichanganye tena ulete story za machines (radiological departments) .now niko na data sahihi tz ziko hospitals zaidi ya kumi zenye MRI and CT scan.. NB: hizo ni public hospitals tu
 
hehehehehe..πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. eti watz wanataka kuleta battle ya hospitals hapa.... this are now challenges tht i realy like
 
Kenya kuna nyumba ya KSH 50 per month.. mkenya anayebisha anitag
 
Aisee hii picha ni noma wakuu, salute NDINDA wao vi CBD vyao vimekaa kiafrika Africa cc tunaanza kufanana na Dubai [emoji116][emoji116]View attachment 2013183
Kingine wasio kijua ni hiyo Open green space, hapo katikati pasipo na nyumba ndio panaitwa UWANJA WA FARASI , hapo ni eneo la wazi na unaweza piga mechi hapo na Marathoni za Dar start na finish ni hapo, pia mashindano maarufu ya Dar Goat race, na matamasha mengine yanafanyika hapo pia.
 
na walikuwa wanatuchalaza kisawa sawa,ona jinsi thread ilivyoanza 2017 mpaka sasa,utagundua kabisa ni jiji gani lililo chsnge fasta
Ni nini kimechange Dar in those four years? Kujenga elevated road ya kwanza au nini?
 
Prime minister wa danganyika ni muongo
Is he the same guy mwenye aliwaamisha kwamba magufuli yuko nzima na ''anachapa kazi''while the truth was that the guy was already dead? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kucheza na akili ya mtanzania ni rahisi sana
 
Nimeleta data ya 2019 ndio utumie akili kidogo. Kama hiyo data ya 2019 inazidi data yenu ya 2021 si hapo nikutumia tu akili na kunyamaza? You shouldn't open your filthy mouth all the time
 
More than a half of residential houses in Dar ni uswazi aka dreamhouses. Mbona unajitekenya? Hizo dreamhouses ndio uswazi babaa kama hujui.
 
Huu ni ujinga unaweka hapa.

Kama mzigo mwingi unaingia Kenya ni mzigo gani huo? Mahindi na ngano au? Mngekuwa na viwanda vingi tungetarajia kuona bidhaa zenu nyingi za viwandani katika nchi zilizowazunguka. Lakini hakuna kitu.. Hadi nyie ndio mnatumia mbinu chafu kuzuia bidhaa za nchi nyingine kuingia kwenu.

Nimevamia vita kimya kimya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…