Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mjinga nakuletea taarifa ya WB alafu unailetea viblog. Utarevuka lini?
mm au weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Wewe mjinga nakuletea taarifa ya WB alafu unailetea viblog. Utarevuka lini?
mm au weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fungua link basi




 
Hivi hapa ni Kibera, πŸ‘‡ 🀣 🀣 🀣

 
Anthony Blinken, US secretary of state anakuja Kenya kesho huna habari? Kenya nimewaambia ni baba yao na hamusikii.
cc joto la jiwe Geza Ulole The best 007
kenya ni baba wa nani ?? kama mulishindwa hata kusaidia uhuru wa nchi za africa mutakua baba wa nani labda baba wa walevi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kila siku munachoma shule wakenya muna matatizo gani Tony254


Ujinga ambao serikali ya Kenya ilifanya ni kwamba ilipiga marufuku kiboko shuleni. Zamani wakati wetu, tulikuwa tunachapwa kama punda hata hungepata wazo la kuchoma shule. Siku hizi hawa watoto wa cerelac na weetabix wamedekezwa sana eti hawachapwi shuleni. Mwishowe wanakuwa watundu kushinda ichoboy01
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…