Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe lofa acha kusumbuka na maisha ya usiowajua. Haitakusaidia utoke maisha ya uswazi hapo Dar
 
Mombasa = Dar.., wacha kujichocha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
R
πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚ waingereza waliwapendelea baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia na kwa kupenda kila kitu wakampora mjerumani Tanganyika halafu haawakuendeleza , baadala yake waliendeleza Nairobi hio ni historia fupi.

Off course mpaka sasahivi bado mwingereza anamtawala kenya kwa kushirikiana na Mchina

Sasa Tanzania inajijenga yenye bila wakoloni kwa maendeleo ya kiwango cha juu .
Tumeshawapita wakenya katika infrastructures na tunaendelea kuwazidi.
 
Mji una ma slums na mauchafu kila angle, wanapambana kupiga vipicha vya upande upande kuongopea dunia, utawasikia the most developed city in East and Central Africa alafu wanaweka na kapicha ka upande upande walikokapiga make up wanapost, zen foreigners wakiona wanadhani kweli, but wakifika wanaibiwa mpk kalamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ss foreigners wanajiuliza km the most developed city of EA ni hii je hizo zingine itakuwaje, lkn now wameujua ukweli, tunasubiri electrical SGR ianze ku operate tufunge hii battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…