The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hehehehee mashamba wayatoe wapi, unadhani kumiliki shamba mchezo nn, wakunya weusi wengi over 99% hawana guarantee yyte ya kumiliki ardhi ndani ya Kenya, wakunya wachache wenye ardhi ni politicians na wakulima wa vijijini ambao wanamiliki ardhi mfu Mana arable land yote wamechukua foreigners na politicians wachache.Wakenya weusi wote mali zao ni mashamba na makadirio ya ufisadi waliofanya wakiwa viongozi lakini kwa ground they own nothing tangible [emoji23][emoji23][emoji23]
So unafananisha Kilimanjaro na ka dwarf GTC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tall buildings can be seen from miles away hata Kilimanjaro CAn be seen from nairobi
Grain Bulk HandlersMzee Mombasa zero kabisa.
Unaleta picha za Nairobi are you stupid or something.
So Mwanza inaanza kupambana na Nairobi sasa right!?
View attachment 2008016
Kati ya Dar na Nairobi wapi kuna majengo mengi, answer this if have balls.Dar is slum boundary kubwa, lakini empty yote. Majengo yamejaza 2sq km
Ndio maana yake.What do you mean one project? Like that's the only ongoing project?
Aisee habari njema sn na zenye kuliwaza na kutia moyo.
Yule golikipa ni mwenye bahati tu kukuta zama hizi hatuna makipa wazuri lkn ni golikipa mpumbavu na asiyejua majukumu yake, lkn nisije nikampa dozi ambazo si zake, ofcz hajazaliwa kuwa golikipa.Your goalkeeper pia amechoka, alifungwa bao za kirahisi sana, not the first time!! kwanza the first goal!.., it kills morale ya players., next time.,
Hao wapumbavu wamekalili mji kuwa mzuri ni kuwa block flyover wamemaliza, ni kama wanavyofosi kamji kao cjui kanaitwa eldoret cjui, eti wanataka kuka compare na Arusha kisa tu kana block flyover, pembeni vumbi kama la Congo.Mzee mbona unaleta ushamba. Unalazimisha vitu ambavyo havipo.
Tukianza
1. Industrial
2. Business
3. Transport
4. Mining
5. Fishing
6. Entertainment
7. Health infrastructures
Hebu weka hizo takataka zako hapa tuone.
Shenz type
Apa nakubali point zako...manake hata ukienda mikoa ya mbali ukute kuna uchumi mzuri sio kila kitu kiwe dar pekeeHii ndio sababu Tanzania ni nchi Bora zaidi kuishi hapa Africa, Tanzania maendeleo na uchumi wake umesambaa nchi nzima tofauti na Kenya kila kitu ni Nairobi.
Nairobi uchumi wake ni zaidi ya 52% wa uchumi wa Kenya yote, Dar es Salaam uchumi wake ni 30% ya uchumi wa Tanzania nzima.
Note: Tanzania inaongoza Afrika katika uchumi shirikishi(Economic inclusivity), Kenya inaongoza katika Economic iequality[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya tuonyesheni ni Hospitali gani imeshafanya aina hii ya upasuaji tangu Kenya ilipopata uhuruAisee habari njema sn na zenye kuliwaza na kutia moyo.
Cc Tony254 Don YF
MK254
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapewa vigezo vya uchumi mkubwa, tulieni dawa iingie au na nyinyi mjibu kwa upande wa Mombasa kwamba kuna nn cha kupambana na mwanza zaidi ya uwepo wa mashoga na wauza mbususu kina komora096Hospitali ya kanisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukigundua kina bwana yule walikuwa ni nan na unyeti wa habari walizokuwa wanapata unagundua pia kuna umuhimu wa kufumuliwa kwa idara nyeti [emoji22][emoji22]Huu ungese wa kuteua watu waliosomea kilimo kuongoza wizara nyeti kama ya umeme ndo matokeo yake hayo.
Kuna hadi winchi zenye uwezo wa kuinua tani 40 halafu huyo anaongea ujinga ujinga.
Huyo ni moja Kati ya wale waliokuwa wanaupinga huo mradi tangu mwanzoni.
Huitaji nguvu nyingi kugundua akina "bwana yule" walikuwa kina nani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Akina "bwana yule" washapewa ulaji so sasa hivi ni mserereko tu kwao. [emoji23][emoji23][emoji23]Ukigundua kina bwana yule walikuwa ni nan na unyeti wa habari walizokuwa wanapata unagundua pia kuna umuhimu wa kufumuliwa kwa idara nyeti [emoji22][emoji22]
Apo usingechunguza ingekuwa imekula kwako, mm hawa kwa ss hawaniongopei, nilikuwa nataka kuchunguza hizo picha mapema sn mana hakuna jipya la Mombasa litawekwa humu.Mzee Mombasa zero kabisa.
Unaleta picha za Nairobi are you stupid or something.
So Mwanza inaanza kupambana na Nairobi sasa right!?
View attachment 2008016
Hayo majibwa hayanaga akili hata ya kuendea chooni, no wonder yanakunya kwa mfuko.Wewe unachekesha Sana, Kati ya kiwanda cha kusindika Nyama na kiwanda cha kuunganisha magari yaliyotengenezwa nchi zingine, kipi chenye "Economic impact" kubwa kwa jamii?
Sasa aortic valve repair ndio imewashtua, mnakuanga washamba sana.Wakenya tuonyesheni ni Hospitali gani imeshafanya aina hii ya upasuaji tangu Kenya ilipopata uhuru
Tony254
Umewapa jibu ambalo litawafanya wakifute hicho ki picha chao mana kwa jinsi wanavyopenda sifa walikuwa hawajaelewa maana ya hicho kipicha cz Wakenya hawana akili.Hii ndio sababu Tanzania ni nchi Bora zaidi kuishi hapa Africa, Tanzania maendeleo na uchumi wake umesambaa nchi nzima tofauti na Kenya kila kitu ni Nairobi.
Nairobi uchumi wake ni zaidi ya 52% wa uchumi wa Kenya yote, Dar es Salaam uchumi wake ni 30% ya uchumi wa Tanzania nzima.
Note: Tanzania inaongoza Afrika katika uchumi shirikishi(Economic inclusivity), Kenya inaongoza katika Economic iequality[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo anatengeneza mazingira ya kupiga pesa, hapo anatengeneza tatizo zen baadaye atamalizana na makampuni ya mafuta, mnazani alienda kucheza uarabuni? Mbwa sn huyu mbwa.anapingana na alichosema yey mwenyewe