Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta hapa usiongee sana
 
Leta hapa usiongee sana
Okay here I want to show you not prestigious but roads that are far from town and the business districts like Westland upperhill and the like they are in east lands or the other side but not near town do not lead to town but most of them are in between the estates like outering and the like and most of them are still dual and big
 
Sama boy 255 now as I have done show me roads that are far from CBD don't lead to CBD but are interconnections on between dar estates no brt because brt goes to town I see how you fair in roads if you beat this then nakubaliana na wewe
 
Kamwe siasa isiwe ni kisingizio, hatujui mpira
 
Mkuu hii kauli huwa naisema hapa daily na naiishi hii kauli, tuna kila kitu, tuna viwanja vizuri,tuna ligi nzuri, tuna Amani, wachezaji wanaishi mazingira ya kitajiri, lkn ndio hivyo tena Watz hatufundishiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli mkuu, tatizo letu sisi waafrika ni uvivu wa kufikiria, tunapenda Sana kulalamika na kulaumu serikali na viongozi wakati sisi wenyewe tunajiona ni "perfect Sana", tayari watu wameanza kutupia lawama "siasa", ukweli ni huu unaosema wewe.,[emoji122][emoji122]
 
Kwenye barabara usijaribu kabisa mana najua utaleta vi flyover vya tofali ukidhani ndio roads, wacha kabisa kwenye barabara mzee Tz co level yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nilisema mm, wakunya hawana akili, wao wanadhani outdated flyovers za tofali ndiyo roads, barabara zina vumbi kama hivyo ndiyo uje ulinganishe na barabara za bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwawa


Januari alisema bungeni eti Tanzania nzima haina winchi ya kuinua milango ya mizito ya bwawa (tani 26) wakati winchi hizo mbili zenye uwezo wa kubeba mzigo huo zipo.

Kwa hisani ya MKONGORO
Kuna watu wapo kwa ajili ya kukera wenzao, kamepewa kazi badala kafanye kazi kanataka kujiona ka genius wkt wote tunajua kwamba kapo pale kwa mgongo wa baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiv watanzania, kuna mtu kweli anafurahia mama kusafiri safir sana ?..
nikiangalia taifa stars tumefungwa na huku naona mama yupo anazurura tu.. nataman nisiingie mtandaon.. vyote vinakera[emoji849]
Wapo nao fraiya...hasa group analo tembea nalo, na wanao sifia bila akili....yani air Tz ndio usafir wake
 
hiv watanzania, kuna mtu kweli anafurahia mama kusafiri safir sana ?..
nikiangalia taifa stars tumefungwa na huku naona mama yupo anazurura tu.. nataman nisiingie mtandaon.. vyote vinakera[emoji849]
Ni kuwa wapole tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…