Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona air Tz ikipaa zaidi mpka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] by mashabiki vupofu
Mkebe wenu umeshaanza kuja Nairobi mara mbili kwa siku? Mbona siwasikii mkilizungumzia hilo jambo?
 
so kenya ni sawa na malawi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hakuna cha kujitetea narudia tena mlichotupita ni mapicha picha tu in reality hamns kitu hapo labda na k8ngine mlichotuzidi ni kwa ufande wa mfumo wa ujenzi wa kujenga estate kwa wingi (hostel camp houses) ni hayo tu vinginevyo hamna kitu hapo
tembea mzee ojwani
 
kuna mjinga mmoja anapost maeneo ya chuda tu sioni akileta ushuzi huu kamili hio ndio CBD ya mombasa ikionekana hapo katikati ya mavi ya kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huo ndiyo ukweli ila kwa kupiga good photo kwa kutumia angle nzuri kwenye miji yenu mpo vizuri mmetisha,
Tz tupo na few picha tofauti na nyie
 
nchi inanuka madeni na wananchi wananuka madeni pia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23]hii nchi bwana.. full vituko [emoji23][emoji23]
sio vituko tu bro wanamaisha magumu kuliko zimbabawe na sio mm nasema ni world bankπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…