Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jibu sio yako kilaza, wewe inakuashia niniπŸ˜› πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., mwenzako aliuliza a rhetorical question.., sasa ajijibu na clip., uzembe sitaki.
Yaani kwa akili zako unaona Nakuru ni bhab kubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Fumba Town tu imekufanya uanze kupia kelele
 
Alafu mbwa anakuja kuongea upuuzi kuhusu Magu, mbn miaka zaidi ya 50 hatukuwahi kuongoza kwenye sekta tunayostahili kuongoza, sekta ya utalii? Kuna nchi gn hapa duniani inaweza ku battle na Tz kwenye utalii naturally? Tulilala sn, so yule baba akaja kutuamsha kdg tu ndo unaona hivi, je angetuamsha mazima c ingekuwa balaa.

Mwenyezi Mungu fundi sn, alituletea mtu atustue kdg zen tuendelee wenyewe, yule Magu wala co genes za Tz, cc Watz tumebarikiwa kila kitu na ndiyo maana unaona hata nchi ikipata mwehu lkn huwezi kusikia njaa wala ushuzi wa njaa cz we are blessed country, yn heden ilikuwa Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri mbwa aje abishe kuhusu Nakuru nimlipue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…