Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro usifananishe Mwanza na kisumu , Mwanza kuna biashara kubwa zinafanyika hata Nairobi haifikii, Waulize wakenya wanaokuja Mwanza watakuambia .
 
Nmefurahi umeongea kiungwana...
 
Vizuri vingi sana kwetu. Sema tu nyie watoto wa mama Ngina, Kenyatta Elite imekula akili zenyu.
Hapa ni battle ground bro.., debate moto moto., badilisheni uzi tujadili bila ushabiki, mimi nafuata sheria ya uzi "battle".., hakuna huruma πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Bro usifananishe Mwanza na kisumu , Mwanza kuna biashara kubwa zinafanyika hata Nairobi haifikii, Waulize wakenya wanaokuja Mwanza watakuambia .
I have met many Tanzanians from Mwanza while in Kisumu, ni wengi, sana sana at Kisumu port, especially the crew who come with ship to pick goods in their ships and transport to Mwanza and port bell., wanakaa ata wiki moja wakingoja mizigo kutoka Mombasa na kwingineko.., they can tell the difference.., wanazunguka, mwingine alifika hadi Eldoret akashangaa.., picture don't give the clear scenario..,
 
Najua battle ni kugonga panapouma.
Nakumbuka kuna jamaa yenu alikuja anajidai anajua IT nilimgonga nyundo akakimbia JF🀣🀣🀣
hapo sasa.., piga ua., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Dah hivi Uganda inaipita vipi Bongo Kwa kulima Kahawa? Hii sio poa kabisa.

Hili zao wakulima walianza kulichukulia poa baada ya bei kuanza kuvurugika na gharama zake kulima na kuzitunza hadi kuvuna ni kubwa.
Kahawa nyingi ya Tz inakwenda Uganda, wafanyabishara wanafuata bei nzuri kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kahawa nyingi ya Tz inakwenda Uganda, wafanyabishara wanafuata bei nzuri kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania mnakuwanga wapumbavu sana nyie! yaani kila siku ni masingizio ya ki-jinga, oohh waKenya mnatoa parachichi tanzania; ooh Uganda wanatoa kahawa tanzania! mbona nyinyi msi-export mazao yenyu wenyewe?? Inamaana hamna akili kazi yenyu ni kuliwa tu na umbea.
 
Uongo!?
Tell me; county ipi hapo kwa mama Ngina wanalima Avocados!?
 
Hivi vijumba vimekaa kiuchafu sn, haivutii kabisa ni kinyaa kuangalia kama nzi, zimebanana sn km slums.View attachment 2003279View attachment 2003280

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivuu!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ density kaka.., kubali yaishe mbona kuruka ruka., ama unataka kunimalizia hasira za weekend, si wajua ni nini naongelea? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hapo ni eastlands., not quite standard but far better than your sprawling residentials, with no roads ni vichochoro tu kule kwenu., wacha niweke street level ujionee..,

Tazama mama zetu wanapeana udaku wa mtaa hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ wanasema; " Mama halima wamjua yule kijana wa T-shirt ya Man U ni fisi kweli, ananyemelea house maids kwa estate..," #007 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚





 
Kaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…