joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Utamaduni wa Tanzania ni masoko sio malls, masoko mijini na magulio vijijini, sisi Mambo ya malls hatuthamini Sana kwasababu mara nyingi hakuna fresh food na products nyingi ni imported, malls zinalenga zaidi high and middle classes while markets ni kwa ajili ya lower and middle classes ambao ndio makundi makubwa makubwa hapa AfricaMtanzania ni mijiga tu. Their economy is still in diapers na huku wamejaza kelele. An informal economy where people still buy goods in small quantities in roadside kiosks. Halafu wanashangaa mbona nairobi kuna malls everywhere
Siyo tu kuaminika bali hata akili ya kutetea maslai ya taifa kwenye miradi mikubwa kama hiyo ana.hapo upo uwezekano mkubwa tukaambulia manyoya, vitu kama hivyo alitakiwa raisi kama JPMI don't trust that guy at ALL. Let's not get hype
Yaweza kua bigger but cheap af...majengo mawili tu ya dar cbd yanaweza kua ya ghali kulikoni vibanda 500 vya iyo estate....sasa fikiria office blocks 10 tu inamalizana na estate nzimaTunaangalia uhakika wa mambo sio information uchwara.., kama kusema eti 2.5 million people wanaishi Kibera slums hiyo itakua 50% ya population ya nairobi yote in Kibera, which is in southern part of Nairobi(Southlands) [emoji23] [emoji23] [emoji23] , such organizations don't do ground work they pick data from internet to augment their report, even unverified data wanatumia tu [emoji23] .., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .., mimi nakupea facts sio porojo.., mambo kwa ground..., ukweli utabaki, Eastlands is far bigger than Dar CBD yooote! huu ukweli najua utakuuma sana, haupendi kuuskia! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Exactly, huo Mradi wataupeleka Haraka sana Yani term ya pili ya Mama utakua umeshaanza.Siyo tu kuaminika bali hata akili ya kutetea maslai ya taifa kwenye miradi mikubwa kama hiyo ana.hapo upo uwezekano mkubwa tukaambulia manyoya, vitu kama hivyo alitakiwa raisi kama JPM
uko na akili nyengine ama ni hiyo tu unayotumia??Yaweza kua bigger but cheap af...majengo mawili tu ya dar cbd yanaweza kua ya ghali kulikoni vibanda 500 vya iyo estate....sasa fikiria office blocks 10 tu inamalizana na estate nzima
May be I am the weird one on this but I find it inappropriate for the minister to post something like this on tweeter. On my side i see it like some kind of stupid teenager sharing a selfie of her with her new boyfriend. Leave it to a government spokesperson, huu ni ulimbukeni wa siasa nini kazi ya msemaji wa serikali$30b Investment coming
Eastlands sio estaste, ni mikusanyiko ya estates tofauti tofauti, alafu hiyo kauli yako is not true, kwa mtazamo wako, what do you think is the value of these 👇 👇 👇 organized estates still in Eastlands? unadhani nyumba moja ni pesa ngapi hivi? eastlands iko na estates mingi sana, hii reasoning yako ni pedestrian.., tusidanganyane kaka, ikisemekana Nairobi iko na GDP ya $50B plus kwa sasa sio utani, facts are screaming, it is too obvious..,Yaweza kua bigger but cheap af...majengo mawili tu ya dar cbd yanaweza kua ya ghali kulikoni vibanda 500 vya iyo estate....sasa fikiria office blocks 10 tu inamalizana na estate nzima
Wewe ukijicheck unaakili?uko na akili nyengine ama ni hiyo tu unayotumia??
Biggest mtaa wa cheap apartmentsEastlands kama Eastlando...,the biggest mtaa than Dar and Nairobi CBDs..,
Areas around Outer Ring...,
View attachment 2003215
View attachment 2003213
View attachment 2003212
View attachment 2003210
View attachment 2003211
Wivuuu 😂 😂 😂 😂 😂 sawa basi.., leta ya Dar nione pia..,Biggest mtaa wa cheap apartments
Majengo mawili ya BOT tu kipindi icho yanafunguliwa ilikua ni tsh 200 billions mwaka 2005 uko I'm sure izo pesa wanajenga ivyo vibanda 2000 na Chennai inabakiEastlands sio estaste, ni mikusanyiko ya estates tofauti tofauti, alafu hiyo kauli yako is not true, kwa mtazamo wako, what do you think is the value of these [emoji116] [emoji116] [emoji116] organized estates still in Eastlands? unadhani nyumba moja ni pesa ngapi hivi? eastlands iko na estates mingi sana, hii reasononing yakop ni pedestrian.., tusidanganyane kaka, ikisemekana Nairobi iko na GDP ya $50B plus kwa sasa sio utani, facts are screaming, it is too obvious..,
View attachment 2003233
View attachment 2003225
View attachment 2003226
View attachment 2003227
View attachment 2003230
View attachment 2003231
Nmekueleza ukweli...mbna sijawahi ongea vibaya juu ya posh area zenu kama Karen,muthaiga,west,gigiri,maeneo nyeti kama upperhill,old cbd nkWivuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa basi.., leta ya Dar nione pia..,
Ni kazuri bro, ni moja tu na ni ndogo..., pongezi kwa delivery., gari zinaruhusiwa kupita kwa sasa?..,Kusema kweli hizi picha nimezipenda sana. Najua watoto wa mama Ngina wamenuna sana
View attachment 2003250View attachment 2003251View attachment 2003252View attachment 2003253
Your opinion of which you are entitled, lakini ukweli unabaki Eastlands ni kubwa sana zaidi ya Nairobi old CBD na Dar CBD yoote, my point.Nmekueleza ukweli...mbna sijawahi ongea vibaya juu ya posh area zenu kama Karen,muthaiga,west,gigiri,maeneo nyeti kama upperhill,old cbd nk
Some truth though.., have never seen an apartment in Eastlands with a lift by the way! In kilimani na mtaa kadhaa southlands kama kilimani, Lavington, Ngong road areas etc, apartments kadhaa have lifts and gym kwa basement, pia Kiambu I visited some friends kuna several apartmants za adabu sana kule, za lifts with underground designated parking, but Eastlando in some sections gari zina park nje ya building kama street za city centre..,Biggest mtaa wa cheap apartments
Sikuhz mnapongeza...mmebadilika sana hongeraNi kazuri bro, ni moja tu na ni ndogo..., pongezi kwa delivery., gari zinaruhusiwa kupita kwa sasa?..,