Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani alikwambia pesa yenu ina purchasing power kubwa Mama Ngina au? weka hapa 600ksh vitu inavyoweza kununua, na mm nikuwekee 10,000Tsh uone vitu inavyoweza kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliwahi kuwapa ukweli wakunya wenzie wakamshambulia sn, akawa provoked akawatisha kwamba wakiendelea ataweka hadharani uozo uliopo Kenya ambao Watz hatuujui, wakunya waliogopa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikwambia pesa yenu ina purchasing power kubwa Mama Ngina au? weka hapa 600ksh vitu inavyoweza kununua, na mm nikuwekee 10,000Tsh uone vitu inavyoweza kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia metrics za PPP uone KSH ikona strong purchasing power than TZS.
Sukari 1kg ni almost bei ya 2kg hapa Kenya na hio yenu ni brown sugar.
Kenya 2Kg = ksh215
TZ 1kg = ksh182.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…