Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wekeni hapa bei ya Michele 1kg na Maziwa 1 ltr za supermarket in TZ tuone. Hata Kenya tukona cheaper prices za mitaani.
 
Tunataka vitu vya ground mkunya, hatutaki data zisizo akisi uhalisia.

Weka bei za bidhaa hapa.

Huku Tanzania unaweza pata hadi 1 kg of rice kwa Tsh 700 hadi 1,000 inategemea uko wapi na aina ya mchele.

Nimechungulia Bei ya Mchele duka flani hapa naona kuna wa 1300 kwa KG, ambayo ni Usd 0.56.
Hizo Dola nne ni Mchele gani [emoji1787].
 
Nimeona hii message nikabidi nikujibu...

Kenya vitu vya Tanzania ndio ghali na ndio vyenye ubora... huo Mchele nafuu wanaokula wakenya huku Tanzania wanalishia mifugo kabisa
Unaota mchana, weka hapa bei ya Azam whole milk 1ltr tuone. Wacheni kulialia.
 
Nimechukungulia Bei ya Mchele duka flani hapa naona kuna wa 1300 ambayo ni Usd 0.56.
Hizo Dola nne ni Mchele gani [emoji1787].
Iko wapi? Mbona hatuoni. Enda supermarket upige picha tuone.😁😂
 
Uko desperate sana h
Yaani ata Dar hupati average residential ya raiya wa kawaida kama za kisumu na unabweka bweka humu idiot 😂 😂 😂 😂 ..,
lolwe., yaani nipoteze mda wangu kulinganisha city na vi town? mimi sio kilaza.., nothing of this magnitude in Mwanza or Arusha..,

Lolwe estate has density kushinda CBD ya Mwanza na Arusha 😂 😂 😂 😂 😂 😂









Milimani estate
 
Nimechungulia Bei ya Mchele duka flani hapa naona kuna wa 1300 kwa KG, ambayo ni Usd 0.56.
Hizo Dola nne ni Mchele gani [emoji1787].
Mtaani kwangu pia ni Tsh 1,300 hadi 1,200 kwa kilo.

Atuambie ni Tanzania gani hiyo mchele unauzwa 9,000 kwa kilo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo ni Dar ya miaka ya 90, nime zoom nimeliona hadi pagara letu
Hiyo co Dar ya 90, ni dar ya 2010 hukoo ila wanachofanya wao ni wanaichafua yan wanaiingiza kwenye mtandao zen wanaichqfua ionekane hovyo, jamaa wanaumizwa sn na maendeleo ya Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni hapa bei ya Michele 1kg na Maziwa 1 ltr za supermarket in TZ tuone. Hata Kenya tukona cheaper prices za mitaani.
We jamaa huna akili timamu, yani bidhaa za chakula zilimwe Tanzania alafu eti ziuzwe Bai ghali ndani ya nchi kuliko sehemu ambayo zinapelekwa (nje ya nchi) 😂😂😂 wewe ni chizi ..
 
Mtaani kwangu pia ni Tsh 1,300 hadi 1,200 kwa kilo.

Atuambie ni Tanzania gani hiyo mchele unauzwa 9,000 kwa kilo [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hapa Dar mchele wa grade ya chini kabisa 1100 wa grade ya juu ni 2100 na hapo bado hujaenda mikoani bei ni kama bure hukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…