Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona mzee hatuoni facts. Unaandika insha
Define facts? and in my conversation that ume quote, what is there that u doubt and will need it to be proven beyond any reasonable doubt?.., ama unaropokwa tuπŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, bro, have a good night, take a rest for today kesho ni siku.
 
Wewe ndio nikuulize maana ulisema unatoa facts. Lakini hatuoni hizo facts badala yake mdomo wako unamwaga povu tu. 🀣🀣🀣

 
inakaa bar!
 
Wewe ndio nikuulize maana ulisema unatoa facts. Lakini hatuoni hizo facts badala yake mdomo wako unamwaga povu tu. 🀣🀣🀣

View attachment 2000105
Umelewa mapema sana, haujielewi, kojoa ulale tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kesho ni siku, jibu hamuna hadi mwisho wa dunia.
 
Hizo airbnb ni bei rahisi kwa sababu ya sheria zetu nzuri za ardhi. Nyie ardhi mliwapa wazungu na familia chache za wanasiasa, sasa msilie lie hovyo.
 

Uhuru Business Park in Kisumu
Soko ya kisasa, soko imegraduate.
Hii soko ya Kisumu pia wanabiashara wanasusia, they prefer to follow the customers, wao wananunua wholesale na kuuza kwa viosk vyao in different estates. In Kisumu walitolewa kando ya barabara, maybe late in the evening wanatokea ili wauzie watu wanao elekea nyumbani., few Kenyans go to such markets ilhali Kuna vibanda karibu na nyumbani, pengine hizi modern food market
kama za Naivas, zime embrace supermarket model, self service, kwa hiyo wako na wateja kibao!
 
Hizo airbnb ni bei rahisi kwa sababu ya sheria nzuri za ardhi tulizonazo Tanzania. Nyie ardhi mliwapa wazungu na familia chache za wanasiasa, sasa msilie lie hovyo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Just shut up tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, usiendelee kabisaa, unaharibu zaidiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kwani umekua ichoboy01? hizi fikraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..,
 
kenya nchi ya $106Gdp. tanzania $65Gdp. uganda $41Gdp. mta do!.. sisi ndo wenye usemi kwenye kila nyanja katika ukanda huu. mkubali tu matokeo. tz+ug+rw=ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…