Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

habari bila shaka imewafikia wakunyeana
 
china siyo watu wazuri hao jamaa ni noma[emoji41]
 
Ndio maana nilimwambia yule mmbwa NirobiWalker kuwa aachane na akili za kushikiwa.

Yaani wazungu wanasema flani maskini kwakua anaispend one$ kwa siku. Sasa kama nina kila mazalisha kila kitu na sina cha kununua, hiyo one$ naspend vipi?
 
Sijasema hawapo, nimesema the vice is not as rampant in Kenya as it is in Tanzania. Most Kenyan women retain their skin colour but of course we have exceptions.
Ulisema mikorogo hamna Kenya. Ukasema hayo ni mambo ya congo na ukadai Tanzania ndio tunatumia.
Labda sasa useme tu kuwa umefuta kauli na sasa unasema Tanzania ndio wanatumia zaidi kuliko Kenya kitu ambacho pia nna mashaka nacho.
 
Hapo ndipo tunapo kosea kugushi vyeti ni hualifu ,huyu mjambiani anazidi kuijambia nchi kwanini mambo maovu yanapewa thamani wakati wananchi mamilioni wanadhurumiwa tozo hakuna anaye wasikiliza ,wengi wa hao walio gushi vyeti wana undugu na viongozi serikalini nani wanachama wa chama tawala sisi tukisema huyu mama ni mpumbavu watu wanasema tunamtukana ,magufuli alikuwa ananyosha nchi huyu anaanza kupinda nchi tena na kumsababishia raisi ajaye kazi ngumu upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…