Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akuna kitu blabla tu...fukara nyie ...mnatafut watu mnawapandkiza utz kujustify your failer....kwani kule kwenye slums wanaishi wakina nani?

Halafu tatizo mnakuja mkiwa wachafu wachafu hamjui kuoga.
 
Hamna hata ubunifu, hivi kuna nchi nyingine dunia hii hutuma watu wake kuomba omba wakiwa wachafu kamaa nyie

Yaani maskini kama wewe uombwe🤣🤣🤣
Huyu Mzee anakufa na njaa huko Nairobi wewe unaleta propaganda.
Can you solve this!?




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…