Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is no correlation between development and women possessing masculine traits. Russian and Chinese women are feminine even though they live in developed nations. Here's the kicker, they are not confused with who they are.
 
Hehehe, Ila hii comment imewadunga mioyo wabongo maanake ni ukweli mtupu. Wacha niite MK254 adhibitishe maanake yeye ndiye Mkenya aliyeishi Bongo kwa muda mrefu Zaidi.🤣🤣

Hehehe!! Hukumbuki Magufuli alivyokua anawakandia wanawake weusi na kusifia weupe mbele ya mkewe ambaye yeye mwenyewe ni mweusi, dah yule mama alivumilia kwa kweli.
 
Hehehe!! Hukumbuki Magufuli alivyokua anawakandia wanawake weusi na kusifia weupe mbele ya mkewe ambaye yeye mwenyewe ni mweusi, dah yule mama alivumilia kwa kweli.
Mzee wa GDP upo!?
Nakumbuka profile photo yako ya zamani.
Umeshaacha issue zako za kitoto kitoto!?
 
Wadau haki walahi huko Ethiopia mambo yanazidi kuharibika. Mambo yanazidi kuoza kabisa huko.
Nadhani ni wakati wa AU kuingilia kati. Sijui tunasubiri Marekani iingilie kati kwanza. Tunazingua kichini.
 
Mandera governer's Mansion,natamani kuona Kama jengo la hospitali au shule zinafanana na hili 'hekalu huko Mandera.
 
Okay, nakumbuka ishu ilileta maneno maneno sana.

What was the issue hadi serikali ikaingilia kati
Wakenya wenyewe walisukuma serikali yetu iingilie kati. Pia kuna story ya Wakenya watatu au wanne waliokwenda kufanya kazi huko Ethiopia kisha wakakamatwa na kufungwa gerezani. Familia ya Wakenya hawa ilileta pressure kwa serikali kwamba iwaokoe. Mwishowe serikali iliongea na serikali ya Ethiopia na wakarudi nyumbani.
Tazama hapa watatu waliwachiliwa baada ya serikali yetu kuingilia kati

Hawa nao ni Wakenya wanne waliokuwa wamefungwa jela South Sudan na serikali yetu iliingilia kati na kuwanusuru


Serikali ya Kenya kwenye diplomasia huwa iko vizuri sana. Najua wengine wenu mtapinga lakini huo ndio ukweli wa Mungu.
 
There is no correlation between development and women possessing masculine traits. Russian and Chinese women are feminine even though they live in developed nations. Here's the kicker, they are not confused with who they are.
Russia and China are not developed. Read on the threshold for developed country and come back.
 
Mandera governer's Mansion,natamani kuona Kama jengo la hospitali au shule zinafanana na hili 'hekalu huko Mandera.View attachment 1996619
Hapa huyu governor amekosea sana. Mandera ni baadhi ya county masikini sana hapa Kenya na sijui mbona ameamua kumwaga pesa nyingi kujenga jengo kubwa kama hili badala ya kujenga hospitali au shule kubwa kama hili.
 
Sawa.

Point taken.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…