Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani aliyesema hiyo picha co ya Kenya, unataka kufosi ili awe kama wewe uliyewahi kuita picha ya Tz ni ya Sweden [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Check post number 323847. Hadi ukampea like.
 
Si umetaka jengo la Pension km cbk Pension tower au?
Nimesema jengo la BOT Pension tower kama sisi tulivyo na CBK Pension Tower nikakuelezea ni department ya CBK ukakana. Sasa nionyeshe hilo la BOT Pension Tower sio tu jumba lolote lililo na jina pension.
 

Hiyo historia unayoongelea ni ya kuletwa kama tu hii yetu ya majengo ya Wazungu unayoibeza - hiyo ni ya majengo ya Waarabu wa Omani. Sasa kabla useme Kenya iko colonized, pia nawe uache kuiga Waarabu ujenge chako
 
Mwanangu kwa mambo ya technology nimekuzidi mbali mno. So ficha upumbavu wako. Nenda shule kajifunze technology. Wakati tunasoma nyie mnakula chang'aa kibera
View attachment 1993806
Sasa umeiba picha yangu tena? 🤣 🤣 🤣
Hivi unataka ulinganishe milk production ya Kenya na Tanzania? Hivi hujui hapo kwa shelf za supermarket mmejaza maziwa ya Kenya wee mwehu?
 
Sasa umeiba picha yangu tena? 🤣 🤣 🤣
Hivi unataka ulinganishe milk production ya Kenya na Tanzania? Hivi hujui hapo kwa shelf za supermarket mmejaza maziwa ya Kenya wee mwehu?
Ninaonesh namna ulivyomweupe. Nenda shule mwanangu. Japo uondoe ujinga
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…