Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata tukiachana na books, KU library has a capacity of 300 computers while hiyo China AID yao can only accommodate 160 computers.


The one and only, the most modern and biggest library in EAST AFRICA.. sio tu library Bali ni balaa kuna shughuli tofauti tofauti zinaendelea humo ndani .. kwanza kitu ni world class .. uje ufananishe na huu uchafu 👇third world countries standards 😂😂

 
Ulisema phase one munajenga na pesa yenu, ety phase two ndio mkopo. Rudi usome reply zako.
 

Kwani tulikuwa tunazungumzia ukubwa wa Library au Ubora wa University? Sasa ebu wewe mtoto wa nje wa Einstein uliyerithi akili zake tuambie, bado KU Library ni kubwa kuliko the entire UDOM? [emoji23][emoji23]
 
Ujui ethiopia wewe hiyo ni nchi kama kenya kikabila na kooo ...mfano kdf wakikuyu wakijitenga na kdf wajaruo ujue hayo ni majeshi kamili ....kinachotokea ethiopia ni kama kilichotokea china na taiwan
Wewe umewahi kufika Ethiopia ama unaongea tu unayoyaona kwenye TV? Jeshi kamili la Ethiopia ni ENDF hayo mengine ni majeshi ya majimbo.
 
Like I said, vitu vidogo vinawaexcite. Mbona sisi hizi tumezoea? Yani mkiskia mzungu ndio mnaishiwa nguvu kabisa. [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1993038
Mwaka gani hiyo au ni wakati tz ilikuwa aijulikani maana naona awakuvaa barakoa wakati kwa kenya barakoa ni lazima ....sisi tumeleta picha ya jana tu ..pia cheki picha ya uwanja wetu wazungu wanaonekana kama wapo ulaya huko
 
Mwaka gani hiyo au ni wakati tz ilikuwa aijulikani maana naona awakuvaa barakoa wakati kwa kenya barakoa ni lazima ....sisi tumeleta picha ya jana tu ..pia cheki picha ya uwanja wetu wazungu wanaonekana kama wapo ulaya huko
Nimeeleza pale haya mambo ni ya kawaida kwetu. Yalianza zamani na bado yapo. We no longer get excited over white people attending a football match here.
 

Yani westlands inazidi dar-is-a-slum cbd+posta+kariakoo yote. GTC concentration inapiga zile 3 blue towers ten nil. Yani kumi bila. View attachment 1991274
Kwa pumba nawe umo
 
Hii Imetulia sana
 
Kenya Wildlife Service Headquarters.
Bongo huwezi pata offisi kama hii, Tanzania Wildlife Authority wanafanya kazi kwa wizara ya utalii na misitu. 😂😂😂 Alafu munalia Kenya inapata watalii wengi kwanini, kumbe hata kupata offisi ni shida.

 
Kwaniaba ya Wakenya naomba niwaombee msamaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Smaller than KU which is much beautiful than that China AID.

 
Weka hapa idadi ya watalii waliokuja kwenu mwaka huu na mm niweke ya huku kwetu, excuses sitaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka hapa idadi ya watalii waliokuja kwenu mwaka huu na mm niweke ya huku kwetu, excuses sitaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka tuone, half year results. Na ujue tulikua na partial lockdown. By the end of 2021 tutawashinda kama kawaida in both numbers and earnings.
 
Inasikitisha sana [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You gave up on comaparing the size sasa umebaki na kutumia emojis to hide your emotions. In Tz apart from UDSM and UDOM which none can come close to KU in terms of infrastructure, there is no other appealing university in Tz.


This is Umma University.


 
Nyuma ya LIBRARY kuna CHUO CHA KICHINA CHA CONFUCIUS kinajitegemea na majengo yake Yenyewe. angalia majengo ya nyuma kabisa yanafana na Libray.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…