The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Umesahau Garbages na flying toilets.kuna vitu kenya viko common sana, yan mpka hatushangai vikitokea.. zimekuwa identity yao
-ghorofa kuporomoka
-chopa kuanguka
-kutokea kwa baa la njaa
-uwepo wa slums
-corruption scandals
-wizi na uporaji kutokea hadharan mchana kweupe
Halafu watu wanaangalia tu hawana time hata ya judaïsai, ingekuwa bongo hao jamaa wangevikwa matairi chap
Hapa mafundi wako speed kinoma 👇View attachment 1992041View attachment 1992045more 👇oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja 👇View attachment 1992068
Hapo bro ni pazur sana .. nikiiangalia hiz barabara alizokua akijenga magufuli najiuliz hiv huyu mama ataweza kweli au bla bla tu za mawaziri wake ndio zitatawala kama awamu ya nne.?Na hapo jinsi palivyo ndivyo pako hivyo hivyo hakuna filter hapo, panafariji mnoo, waafrika tupambane miji yetu ipendeze, kwanza inaongeza siku za kuishi.
kutoka whatsapp status
View attachment 1992173
Muda si mrefu DODOMA itaingia kwenye ushindani na AccraDodoma is changing so fast ,
Give it to 10 years we’ll be talking of something else View attachment 1992090
Hii nchi inafaa iwe na Rais anayeweza kununuwa ugomvi la cvyo haiendi cz kuna watu walishaamini kwamba kupiga ni haki yao.
Nilipoona tuu picha ya kwanza, nikaanza kuwaza hii ni nchi gani? La haula la katwa, nilipoona tuu Aga Khan, nikajua ni ocean road (najua walibadilisha jina)Hapa mafundi wako speed kinoma [emoji116]View attachment 1992041View attachment 1992045more [emoji116]oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja [emoji116]View attachment 1992068
Nchi ya ovyo Sana 🙄🙄🙄🙄🙄
👏👏👏👏👏👏Hapa mafundi wako speed kinoma 👇View attachment 1992041View attachment 1992045more 👇oya wewe DSM itasumbua sanaView attachment 1992051View attachment 1992061any time soon tegemea uzinduzi wa hili daraja 👇View attachment 1992068
Ndio ndio mkuuNilipoona tuu picha ya kwanza, nikaanza kuwaza hii ni nchi gani? La haula la katwa, nilipoona tuu Aga Khan, nikajua ni ocean road (najua walibadilisha jina)
Thenk you big bro ..👏👏👏👏👏👏
Hapa ni Coco..na hizo ndo upgrades wanazozifanya?kutoka whatsapp status
View attachment 1992173
Ubungo inaenda kupambana na Victoria, ofcz baada ya hii miradi kuisha Dar yetu itakuwa one of the most beautiful cities in Africa.Hii kitu nimeona wameshazungushia fence pale Ubungo tayari kwa ujenzi
, after this pale Mahala patabadilika saana View attachment 1992212
Uzuri ni kwamba mzee aliacha kila kikiwa ktk hatua nzuri, so tushindwe wenyewe tu, now ndo watajua kwamba huyu ni genius kiasi gani mana miradi ilikuwa mingi na yote ilikuwa inafanywa kwa wkt mmoja na hakuna migomo ya kusema wafanyakazi serikalini hawalipwi na hakuna shida za kipuuzi kwa wananchi km kukatika katika kwa umeme na wala hakuwa anasujudia mabeberu.Hapo bro ni pazur sana .. nikiiangalia hiz barabara alizokua akijenga magufuli najiuliz hiv huyu mama ataweza kweli au bla bla tu za mawaziri wake ndio zitatawala kama awamu ya nne.?
namaanisha kipande cha KurasiniKwahiyo kaambiwa abomoe yote?
Wamechemsha kivipi mkuu, hivyo vipo kwenye mpangilio mzuri unaoleta mandhari ya kuvutia, hapo ni lazima pajengwe vibanda temporary km hvyo cz hyo ni fukwe pia ni muhimu kuleta utofauti na beach zingine duniani ili picha ikiwekwa ujue kwamba hapo ni wapi.Hii wamechemsha aisee although ni better kuliko vile vibanda vya mantilie ila