Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hivi baada ya magufuli kufariki mnaweza kutupiga bao maana magu alisababisha serikali ya kenya kuamka ili kukimbizana naye kama brt ,sgr ya umeme ,baada ya kuona inapoteza mambo mengi kwa tz mpaka bomba la mafuta ya uganda kupitia tz badala ya kenya na yule COW wa sgr kufa ,kwa sasa tz hatuna Raisi labda 2025
 
Wataalam naomba kuuliza, nimepita pale kwenye flyover ya Chang'ombe km nusu saa iliyopita hakuna ht fundi mmoja site, any idea nn kinaendelea pale?
any positive information would be very helpful.
Mm nilishaongea humu tangu last week but kuna jamaa akanivamia na comment ya kunituhumu naendekeza legacy, alisema mafundi wapo wanachapa kazi.
 
Na ndiyo ramani ya Afrika iko hivyo, unajua nchi nyingi zilizobarikiwa na Mungu zina ramani zenye shape ya kueleweka, btw leo nmepata kitu kipya from you, ckuwa najua hili jambo.
Kitu kipi kaka blaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…