Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo la Nairobi ni vumbi bhn, km mgodini[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1990867
Wasiwasi wangu ni msimu wa mvua kwenye hizi underpass. I hope wameweka drainage system nzuri.

Otherwise kutaja maji sana. Hi ni sababu moja wayo ya Dar es salaam kutojenga njia za chini ya ardhi, maana Dar ipo almost the same as sea level.
 

Toa tuu tumuue tuu huyo kilaza naona ujuaji umezidi Sanaa
 
😂😂😂😂😂au yule maza kwe bodi kaanza vitu vyake nn....
nawaza kwa sauti tuu🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wasiwasi wangu ni msimu wa mvua kwenye hizi underpass. I hope wameweka siwege system nzuri.

Otherwise kutaja maji sana. Hi ni sababu moja wayo ya Dar es salaam kutojenga njia za chini ya ardhi, maana Dar ipo almost the same as sea level.
Unaongea kuhusu sewerage system wakati nusu ya Dar haina sewerage system hadi hata pale cbd yenu katikati!
 
Huwezi kuelewa kwasababu wewe umekariri neno democracy, baadhi ya makabila hapo Kenya mfano jaluo wanalalamika kukosa kutoa president mpk leo na kwamba rais anatoka makabila mawili tu, sitaki nikueleze zaidi ila kama hujaelewa kunya boga.
in democracy majority always wins thats why i said democracy is a double edged sword it cuts both sides....... it has advantages and disadvantages one of the disadvantages being minority will always loose
 
Advertisement screen kwenye majengo bongo pia zipo we zezeta 👇View attachment 1990955vs hiyo yenu yenye inakaa ushagoo👇View attachment 1990960mimi huwa siongeagi uongo we ma***ko. Njoo Don YF ucheke tena
We ni fala, Dar hakuna town square mounted with neon displays and and out door advertising billboards. Kama iko leta picha, wacha kulia. Mumejaribu kutafuta mumekosa, mwingine hadi analeta zile roadside billboards. 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…