Hahaha recreational parks zitakosaje jina? Ama hizo ni private gardens za watu tu wanazipiga picha na kuzileta huku.I have been telling them this since yesterday ila hawasemi lolote. Juzi pia walishinda wakisema wako na recreational parks ukiwaambia wazitaje kwa majina wanasema hayana majina.
My thoughts tooHahaha recreational parks zitakosaje jina? Ama hizo ni private gardens za watu tu wanazipiga picha na kuzileta huku.
Unafikiri hajahesabu? Ashahesabu na kudhibitisha that building is 31 floors. Sema tu ni mpumbavu na mbishi. Haamini macho yake kabisaFunga account kama uko na kende 😂 😂 😂 😂 count.., kama express way ulishindwa kufunga ni empty kiswahili umebaki nayo sembuse hili., uta change ID tu., idiot 😂 😂 ..,
Unajua maana ya "according to"So Nairobi ni important kuliko Paris [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuonyeshe sehemu aston villa waliiweka dar kuwa sehemu mhimu wakati alipokua samattaSi unajua hiyo Team ina Raia wao sijui, ni lazima wapate fans kutoka Kenya, Angalia Mchezaji mbongo alipokua Aston Villa Mkuu Samatta[emoji41]
Yale yale , hawa wanapenda sifa kuliko chochote. [emoji1787]Angalia Thread zao.
Wakenya mmefurahi sana kwa kufa kwa magufuli maana msingeweza kupumua humu sasa hivi tz hatuna ujanja zaidi ya kumalizia kwa kasi ya kinyonga miradi aliyo acha magufuli ndiyo itakayo tubeba kidogo ,mpaka 2025 ndiyo tutakuwa na raisi wa kumchaguaHebu hesabu hizi floors ni ngapi including hiyo revolving restaurant in that dome-like structure ya juu kabisa. Ni hesabu hamujui ama ni ubishi tu ndio mnapenda
View attachment 1990253
More..,Nairobi aerials.
Mitanzania njooni muoshe macho
View attachment 1990813View attachment 1990815View attachment 1990817View attachment 1990818View attachment 1990819View attachment 1990820View attachment 1990822View attachment 1990824View attachment 1990825View attachment 1990826View attachment 1990827View attachment 1990828View attachment 1990829View attachment 1990830
Rais ndiye anayejenga maghorofa? What an excuse!Wakenya mmefurahi sana kwa kufa kwa magufuli maana msingeweza kupumua humu sasa hivi tz hatuna ujanja zaidi ya kumalizia kwa kasi ya kinyonga miradi aliyo acha magufuli ndiyo itakayo tubeba kidogo ,mpaka 2025 ndiyo tutakuwa na raisi wa kumchagua
😂 😂 😂 😂miradi yenu ilianza kujikokota mkulu alivyo kuwa hai., pesa zilimuishia na alikua amewadanganya na "kwa pesa za ndani" narrative, ilibidi a gag your media and independent research bodies ili ku control information asije aka aibika., pia uchumi wenu ni hafifu sana, meagre revenue na mahitaji ni mengi mno, hakuna yule anaye zuia miradi kuendelea, ma flyovers u/c yamesimama, hakuna wafanyi kazi., jiulize ni kwa nini? fedha zimeisha, usimsingizie mama wewe., Uhuru Kenyatta as far as I don't like him he has a team of technocrats, with professionals in relevant disciplines called; "presidential delivery unit"., who ensures delivery of president Kenyatta's promised projects, and development in line with vision 2030.., nyie walikua mashabiki tu..,Wakenya mmefurahi sana kwa kufa kwa magufuli maana msingeweza kupumua humu sasa hivi tz hatuna ujanja zaidi ya kumalizia kwa kasi ya kinyonga miradi aliyo acha magufuli ndiyo itakayo tubeba kidogo ,mpaka 2025 ndiyo tutakuwa na raisi wa kumchagua
Nchi yao bado ni fukara kiuchumi., not attractive to serious investors..,Rais ndiye anayejenga maghorofa? What an excuse!
Nani huyo anamfananisha magu na mambo ya kishenziii[emoji2957] au ni huyo Geza UloleYani mm humu niwaambie tu ukweli, nikiona mtu anampinga Magu kwakweli ananikwaza sn, bora mtu aseme tu kwamba Magu ana mapungufu yake lkn usianze kusema kwamba Magu hafai, yn hapo unanunua ugomvi na mm piga ua.
Hapa city planners walilala kazini! badala ya kuweka sidewalks pembeni wakaweka katikati!