Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie wakenya ni wanafik,mna roho mbaya na wivu kwa ground nakumbuka kuna mkenya alijaribu kunichonganisha na boss katika project zangu sitosahau jinisi moyo ulivoniuma kwa kuwa nilimchukulia kama brother 🙄
 
Kenya mnapenda sifa Sana MTU ambaye hajawahi kufika Kenya mtamdanganya Sana🙂
 
Haya ma flyover ya Uhasibu na Chang'ombe nahisi ujenzi umesimama, hakuna kinachoendelea, mafundi wapo wachache almost ni kama hamna mafundi, cjui shida iko wapi ujenzi haukamiliki mda mrefu ss.
Itakuwa hawajalipwa or something like that..huwa ndo shida ya kubadilisha uongozi..vitu vingine huwa vinasimama na huchukua muda kuisha ..i hope itamaliziwa soon
 
Wanadai inatakiwa overpass banana na mitaa ya airport tena kuna nyumba wameweka alama za kuvunjwa. Kwa reli wanaweza maliza hizo overpass sidhani kama desemba wanaweza maliza

ndio railway pamoja na wire za umeme zitaisha december.. hayo ya overpass ni ishu nyingine yana mda wake
 
tatizo mnajenga interchange kwa kiwango chenye low quality,kwanin mchimbe wakati design ya moja kwa moja pasipo kuchimba chimba chini inawezekana,,au mnakwepa gharama
Bongolala kujifanya engineer...hamna interchange kali kama hii east africa nzima
 
Bongolala kujifanya engineer...hamna interchange kali kama hii east africa nzima
Interchange kali ndiyo hiyo inayoungwa ungwa, ujenzi wa kijuakali, mixa kuchimba chimba tu bila msingi wowote, yn aliyewaroga nyie aliwarogea sururu mnapenda sn kuchimba chimba tu.
 
Main subject ni "Kitendo" cha kila kabila kuchagua mtu wa kabila lake tu, huo ni ukabila sio Demokrasia.
go read a book i think kidogo una upungufu kimasomo hehe cant you even here from even your statement kila mtu kumchagua mtu wa kabila lake inaoshesha wana uhuru wa kuchagua kabila lao radha than kuchagukiwa wasiye taka...... sijaematribalism is good but also you should know tribalism isnt the opposite of democracy ..... you can be ribalistic but still be democratic
 
Tribalism in Kenya was caused by the lack of democracy in the country.
i sometimes pity you when you speak..... first of all define the two words.....after defining them then askk yourself this question..... how can you have the freedom and free will to vote according to your tribe if there is no democracy? bro seems common sense is not that common to everyone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…