Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umepiga picha KICC ndio ukawaringishie wenzio km kweli ulikua nai na uwhahidi unao
 
kicc si ndo nairobi kuja utembezwe the real nairobi wacha SEHEMU ZA MAFALA
 
Hahahaha, hahahaha, hizi ndizo zinawafanya wafikiri wamezidi Tanzania katika Electricity connection[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
World Bank imedhibitisha kwamba Kenya imeishinda TZ kwenye electricity connection. Na nimepost hio report hapa mara nyingi. Hata kuna uzi niliufungua na kupost report hio humo ili kila mtu aujadili.
 
i know kenya there is tribalism and i havent refused thats why i said personaly i dont support it its bad but the main topic here was democracy not tribalism we have tribalism yes but also we have a very elaborate democracy
Tribalism in Kenya was caused by the lack of democracy in the country.
 
i know kenya there is tribalism and i havent refused thats why i said personaly i dont support it its bad but the main topic here was democracy not tribalism we have tribalism yes but also we have a very elaborate democracy
Main subject ni "Kitendo" cha kila kabila kuchagua mtu wa kabila lake tu, huo ni ukabila sio Demokrasia.
 
Main subject ni "Kitendo" cha kila kabila kuchagua mtu wa kabila lake tu, huo ni ukabila sio Demokrasia.
Demokrasia ni bora wananchi wamechagua sio wananchi wamechagua kiongozi bora. Tukija kwa mambo ya ubaguzi basi karibu kila nchi ina ubaguzi. Hata Tanzania haijawahi kumchagua rais wa kike katika historia yake. Huyu mama kachaguliwa kama naibu wa Magu. Kwa hivyo hata nyinyi mna taasubi za kiume sio demokrasia. Ubaguzi wa aina fulani ipo katika kila nchi.
 
Hahahaha, wewe chupi kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…