Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ni kwamba cc tulikuwa bize na ukombozi lkn pia viongozi waliopita hasa kwenye upande wa michezo walikuwa wamelala usingizi wa pono, Magu alikuja akaamsha kila kitu na ndiyo haya matunda mnayoona kwenye kila idara, wageni wanapokuja wanashangaa sn kuiona Tz ni nchi yenye kila kitu tofauti na walivyoambiwa kuhusu East Africa, juzi ofisini alikuja mmalawi anasema alikuja kwa ajili ya matibabu nikamuuliza unaonaje Tz akasema Tz ni nchi nzuri sana, nikamuuliza vipi kuhusu matibabu ukilinganisha na kwenu, akacheka akasema hakuna nchi ya kulinganisha na Tz kwa hapa EA kwenye suala la matibabu, c unaona mkono wng ulikuwa ushakufa ila hapa nimekaa mwezi tu niko vzr na kesho narudi nyumbani.

Wakenya nawakumbusha pia kwamba tunakwenda kuwa miongoni mwa nchi chache za Afrika kuwa na tiba bora zenye viwango mana wageni ni wengi sana wanaokuja kutibiwa hapa Tz kwa ss, yn hii nchi kwa ss imeamka kila idara, so mchukieni Magu cku zote mana kaja kuwaharibia kila sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye national team tulikuwa majinga sn ngj tuone kama kweli tumeamka.
 
Mpira wa vilabu sisi ndio tunawawakilisha vyema EA, pamoja na Sanaa pita hapa 👇
 
Kwenye national team tulikuwa majinga sn ngj tuone kama kweli tumeamka.

kwa gap ya points zilizopo kati ya kenya na Tanzania, tukishinda mechi angalau tatu za FIFA na wakenya wakapoteza hata mbili tutakuwa tunaongea habari nyingine [emoji23][emoji23]
Rwanda September walikuwa juu yetu.. wakapoteza mechi zote mbili October vs Uganda, sis tumeshinda moja vs Benin.. saiz ni tupo juu yao
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Compare and contrast, the real African middle income country and one of the so called lower middle income countries in Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…