mzee, Magufuli alikuwa a poisonous chalice to our togetherness, u drink his charm concortion u die of ignorance and stupidiy, he was very parochial and actually alikuwa rediculated all over the globe na theory zake za Corona! In short very controversial and devisive and incitive, he could talk of graft with all jugular vein out! Then tomorrow he retreats home and initiates a similar project in his backyard Chato with all the signs of serious tribalism and impunity! Yaani was never reliable! msome vizuri utagundua ninachosema! Anaweza kusema mradi huu ni wa rushwa na kelele nyingi kesho unasikia mradi kama huohuo unajengwa kijijini kwake! Sabaya kapewa 30 zake kwa ujinga wa kutukuza Magufuli saahii hayupo kumkingia kifua!
CC: malaya wa Kisiasa Baba na mama yake mzazi
Malaya wa kisiasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndo nachoombea kama unakumbuka nilibishana na mtu kuhusu Etihad nikasema watalii wetu wengi wapo Ulaya na North America na it will make sense kuwa na ubia na mashirika ya huko! Abu Dhabi it is too tricky kwetu! Yaani Air Tanzania iangalia kuchukua nafasi ya KQ katika ubia na KLM/Air France tuna kila vigezo vya kufanikiwa hata viwanja vya kimataifa pia! Kumbuka Mwanza na Songwe ni international standards na uwanja wa Msalato unakuja!
Aisee natamani kuona mana leo ilikuwa siyo cku ya kazi hivyo ckwenda town, naskia jamaa wametolewa pale aisee.
Hawa watu walikuwa wanakwenda kuuharibu huu mji kwa mabanda yao, mm cwez kusapot huu ujinga hata kidogo, vijana wadogo wanatoka vijijini huko hawataki kusoma wanakuja kuwa machinga wanatuchafulia miji kwa huu upumbavu wa slogan ya mnyonge.
Mitaro mingi ya maji machafu iliziba kwa sababu yao kujenga vibanda vyao juu ya mitaro.Hawa watu walikuwa wanakwenda kuuharibu huu mji kwa mabanda yao, mm cwez kusapot huu ujinga hata kidogo, vijana wadogo wanatoka vijijini huko hawataki kusoma wanakuja kuwa machinga wanatuchafulia miji kwa huu upumbavu wa slogan ya mnyonge.
populist Magufuli aliwaruhusu!Hawa watu walikuwa wanakwenda kuuharibu huu mji kwa mabanda yao, mm cwez kusapot huu ujinga hata kidogo, vijana wadogo wanatoka vijijini huko hawataki kusoma wanakuja kuwa machinga wanatuchafulia miji kwa huu upumbavu wa slogan ya mnyonge.
Nimekuelewa!!He deserve!!!.Chief Mkwawa. Humu mwamba tunamchukulia poa sana lakini alifanya makubwa hasa kwa kipindi kile. Alimpa wakati mgumu sana mjerumani Ni sawa sawa na Daudi na Goliath. ANAFAA KUKUMBUKWA KWA KUJENGEWA SANAMU.
Halafu ni kama hizo picha za IFM amezitoa humu! [emoji23] [emoji23] [emoji23]miradi Ayo aache uongo [emoji3].. picha ya kwanza IFM hakukuwa na wamachinga na hizo zenye brt mjini.. labda hio ya CBE
Nimekuelewa!!He deserve!!!.
Ndani ya vazi la mgolole na lemba kichwa!!!,Tunapiga na Plaque ikielezea historia yake!!!Ndo namna ya kuhifadhi historia kwa ajili ya vizazi na vizazi!!!Chief Mkwawa. Humu mwamba tunamchukulia poa sana lakini alifanya makubwa hasa kwa kipindi kile. Alimpa wakati mgumu sana mjerumani Ni sawa sawa na Daudi na Goliath. ANAFAA KUKUMBUKWA KWA KUJENGEWA SANAMU.
Huo ni moyo wa Magufuli, huwezi kujua alikulia mazingira gn, huenda alilelewa na machinga sasa huwezi kumfanya awe kama wewe uliyelelewa kishua.populist Magufuli aliwaruhusu!
Yeah nahisi mirad Ayo yupo humu.Halafu ni kama hizo picha za IFM amezitoa humu! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo unataka kusema hujui alilelewa mazingira gani wakati alikuwa anasema yeye ni familia ya wafugaji?Yeah nahisi mirad Ayo yupo humu.
Kwani akiwa mfugaji ndo nn.Kwahiyo unataka kusema hujui alilelewa mazingira gani wakati alikuwa anasema yeye ni familia ya wafugaji?
Huenda, Jamiiforums ni platforms kubwa huoni ina attract members hadi kutoka nchi zingine zilizopo nje ya mipaka ya Tanzania.Yeah nahisi mirad Ayo yupo humu.
nakueleza si wa hali ya chini kama unavyodai!Kwani akiwa mfugaji ndo nn.