Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya wengi Wana lack ubunifu ukiingia kwenye apartments zao unakuta kiti cha L shape na picha ya wanyama on the wall basi,wachache Sana utakuta Wana interior unique 🙂
Hata wanaija pia wana hili tatizo mtu ana mgorofa wa maana ila finishing ya kingese kweli!!! Kuanzia rangi, partition, colour match... appliances...... hovyo.
 
Bongo buru buru!!! wengine huko wanakunywa pombe bila kula msosi asbh wanavamia supu ya mapupu!!,tena kwa mkopo!!!*****!!! Dyfre anazunguka tu na mtoto wa watu anamshindilia mapombe!!!hawajala toka asbh!!!!Pombe zenyewe wanazokunywa ngumu!!!
Alafu wanatumia maglas ya kushare na corona hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…