Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwangu mimi na naamini hata kwa watanzania wengi siwezi kusema Magufuli ni bora kuliko Nyerere. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa anajaribu kumuishi Nyerere na alikuwa ni mfuasi wa sera za mwalimu za maendeleo. Nyerere na wenzake wa wakati huo wameipambania sana nchi hii (na hata afrika) kuanzia struggle for indipendence hadi kuijenga nchi kijamii/kiutamaduni, kisiasa na kimaendeleo kwa ujumla. Itoshe tu kusema Magufuli alikuwa sub set ya Nyerere katika baadhi ya mambo aliyoyasimamia.
 
Thnx.
 
Samahani kwa hivyo unapinga madai ya Forbes kwamba Dar city is one of the most polluted cities in the world?
Weka ushahidi unaoonesha Dar ni one among the most polluted cities in the world, yn iwepo Dar alafu Nairobi isiwepo wewe utakuwa mgonjwa wewe, kwa taka gani zilizo Dar, weka ushahidi mmoja tu alafu mm nitakuwekea shahidi zaidi ya 10 zikionesha Nairobi ni one of the most polluted and one among the most dangerous cities in the world.
 
Mimi niweke ushahidi kwani madai ni yangu?
 
Mimi niweke ushahidi kwani madai ni yangu?
Nairobi,Mombasa na Kampala most polluted cities in sub Saharan Africa articles ziko nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…