Mama amenifurahisha sn mwezi huu ngj tuone kama ataendelea na mwendo huu.hakuna mkoa utakaokuwa na upungufu wa madarasa [emoji2956].. asante Mama
kwenye hili vip? kenya shule zote madarasa yanajitosheleza? au ndo tunaenda kuwachanjia mbuga wabaki kushindana na uganda
Wao pesa ya covid wamegawana wanasiasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hakuna mkoa utakaokuwa na upungufu wa madarasa [emoji2956].. asante Mama
kwenye hili vip? kenya shule zote madarasa yanajitosheleza? au ndo tunaenda kuwachanjia mbuga wabaki kushindana na uganda
wakenya mjue kuwa pesa ipo tayar, kilichobaki ni kutumiwa
evidence nimekutukana inbobo?
I-screenshot nitakuomba msamaha hadharani!
Sikumbuki huwa ni nani ana msemo wake humu "Wameenda kununulia bank Congo" [emoji23][emoji23][emoji23]Wao pesa ya covid wamegawana wanasiasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sikumbuki huwa ni nani ana msemo wake humu "Wameenda kununulia bank Congo" [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatukuona picha sasa inamaana ujanja wenu wote hamuna ushahidi🤣🤣😇Ya maiti? Who does that?
And i see upperhill also 🤣🤣🤣🤣
Magufuli alishakufa corona na amezikwa chato hatutaki ushahidi mwingine [emoji23][emoji23]Hatukuona picha sasa inamaana ujanja wenu wote hamuna ushahidi[emoji1787][emoji1787][emoji56]
Kilio chako hakitasaidia chochote mana Magu alishapita na ameacha impact kubwa inayoitesa nchi yenu leo mpk miaka 100 ijayo so now muhangaike na legacy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magufuli alishakufa corona na amezikwa chato hatutaki ushahidi mwingine [emoji23][emoji23]
Staili yako ya KataFunua wakunyaland nimeipendaHawa tunaenda nao bampa to bampa mpk waondoke wote humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa, niligindua kwamba wakunya ili waelewe inapasa uende nao kichizi chizi vile wao wako, jamaa co wastaarabu kabisa, hawawezi ku debate kistaarabu, so tunapiga panapouma hata kule twitter mwendo ni huu huu vitasa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wazee ishu ya borders huko baharini kenya vs somalia.. so kenya imekuwa landlocked au kuna kaspace wameachiwa
kama imekuwa landlocked, ngoja tufanye mpango na somalia tuwe na port alliance[emoji23][emoji23] ushirikiano na somalia[emoji1666]
afu lamu & mombasa ports zao zitakuwaje sasa.. ah ningekuwa rais somalia ningeamza kuwa na nuclear weapon kuwashughulia wakenya huko kwenye mipaka baharin