Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
sorry kwa kukujibu mzee!Hivyo viarticle vyako hamna hata mtu mwenye muda wa kuvisoma,as long abu dhabi airport bado inarun na mashirika makubwa yanafika pale basi hata atcl inapaswa siku 1 itumie hiyo opportunity kufika pale
Alafu Geza mkorofi Sana,siku moja nilijibishana nae kwa hoja,akanifuata DM na kuanza kunitukana,yaani huyu jamaa aise!!Kama mtu hajui huwa anaelekezwa mzee na sio kujibu kimuhemuko namna ile.
Kwanini utumie energy kubwa kumjibu mtu kimuhemuko wakati energy ndogo tu inatosha kumjibu mtu vizuri na akakuelewa!
Anyway...yaishe.
evidence nimekutukana inbobo?Ala
Alafu Geza mkorofi Sana,siku moja nilijibishana nae kwa hoja,akanifuata DM na kuanza kunitukana,yaani huyu jamaa aise!!
Fact yako ai make sense,so unataka ATCL ikifanya route ya abu dhabi ndio itakua ishanunuliwa na etihad?ndo maana nimesema ukinidharau hainishtui maana ni facts nimekupa! na ungezipitia ungeona hamna synergies kati ya Etihad na Air Tanzania! Etihad ilinunua Air Berlin na Alitalia na many other subsidiaries na biashara ika-fail huko kote!
umeshinda mzee maana sasa tutaenda kwenye kuanza kutafuta maana ya partnership!Fact yako ai make sense,so unataka ATCL ikifanya route ya abu dhabi ndio itakua ishanunuliwa na etihad?
Na ndo nilichojaribu kumuelewesha ila mwenzangu kaja na hasira! market yetu kubwa ni Europe, North America, India na South east Asia (growing fast)! Route ya London, New York zitalipa, hata sehemu kama Brussels ambapo kuna activities nyingi ukiacha utalii! Kwenda Abu Dhabi au partnership nao ni pata potea maana wale ni makaka na hawasalitiani!Elewaneni kirahisi
UAE kuna Dubai na Abu dhabi .
Etihad hub iko Abudhabi
Emitates na Flydubai hub iko Dubai
watu wengi hupitia Dubai kuliko Abudhabi
Ethihad alikuwa na route ya abudhabi to Dar ..ila ameikatisha because it was not profitable ..
Anashindana na Emirates na Flydubai
...
So kama Atc ataenda Abu dhabi atapata shida sana kupata wateja unless wa codeshare..ili Ethihad asiwe anakuja Africa kabisa ...watumie Dar kama Hub..na hapo inabidi Atc aruke route zote za Ethiad za Africa...Kama joburg na Nairobi...
Lasivyo ATC hawezi kutoboa mwenyewe akienda Abudhabi kufwata watu..route hailipi hyo..hata kwenda Dubai atasua sua...
ATC ajikaze aanze kwenda London kusaidia Wa Zambia ,Congo ,Zimbabwe ku connect kwenda London , Guangzhou ,Mumbai
Maana Alivyoweka Route ya Guangzhou mwanzoni kuwa Tue, Thur na Sat
Na akaweka Lusaka,Harare,Ndola ,Lubumbashi kuwa hizo siku ..unaona kabisa ana target hao pax wakonnect Via Dar kwenda Guangzhou..
ATC itakuwa ngumu kuchukua Waganda ..maana wao wengi wanapitia NBO...ndo karbu kwao
Sitashangaa hata London ikianza tukiwa tunaenda Tues ,Thurs na Sat
Wajitahidi na mumbai waweke hizo siku ..plus turudi na Joburg..maana WA SA lazima wapitie Addis au NBO kwenda India
Hawa tunaenda nao bampa to bampa mpk waondoke wote humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa, niligindua kwamba wakunya ili waelewe inapasa uende nao kichizi chizi vile wao wako, jamaa co wastaarabu kabisa, hawawezi ku debate kistaarabu, so tunapiga panapouma hata kule twitter mwendo ni huu huu vitasa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mdogo wangu Wakunya unawapa Vitasa vya PUANI hadi balaaaa
Wewe Geza hakuna mtu asiyejua humu ndani kwamba uko deep, tatizo ujuaji na kujiona perfect hapo ndipo shida inapoanzia but the rest is ur so deep and we need u in here, ila punguza ujuaji, pia uwe una apply consideration spirit, wacha ukaidi kwa ur fellow Tanzanians.Na ndo nilichojaribu kumuelewesha ila mwenzangu kaja na hasira! market yetu kubwa ni Europe, North America, India na South east Asia (growing fast)! Route ya London, New York zitalipa, hata sehemu kama Brussels ambapo kuna activities nyingi ukiacha utalii! Kwenda Abu Dhabi au partnership nao ni pata potea maana wale ni makaka na hawasalitiani!
Elewaneni kirahisi
UAE kuna Dubai na Abu dhabi .
Etihad hub iko Abudhabi
Emitates na Flydubai hub iko Dubai
watu wengi hupitia Dubai kuliko Abudhabi
Ethihad alikuwa na route ya abudhabi to Dar ..ila ameikatisha because it was not profitable ..
Anashindana na Emirates na Flydubai
...
So kama Atc ataenda Abu dhabi atapata shida sana kupata wateja unless wa codeshare..ili Ethihad asiwe anakuja Africa kabisa ...watumie Dar kama Hub..na hapo inabidi Atc aruke route zote za Ethiad za Africa...Kama joburg na Nairobi...
Lasivyo ATC hawezi kutoboa mwenyewe akienda Abudhabi kufwata watu..route hailipi hyo..hata kwenda Dubai atasua sua...
ATC ajikaze aanze kwenda London kusaidia Wa Zambia ,Congo ,Zimbabwe ku connect kwenda London , Guangzhou ,Mumbai
Maana Alivyoweka Route ya Guangzhou mwanzoni kuwa Tue, Thur na Sat
Na akaweka Lusaka,Harare,Ndola ,Lubumbashi kuwa hizo siku ..unaona kabisa ana target hao pax wakonnect Via Dar kwenda Guangzhou..
ATC itakuwa ngumu kuchukua Waganda ..maana wao wengi wanapitia NBO...ndo karbu kwao
Sitashangaa hata London ikianza tukiwa tunaenda Tues ,Thurs na Sat
Wajitahidi na mumbai waweke hizo siku ..plus turudi na Joburg..maana WA SA lazima wapitie Addis au NBO kwenda India
Saiv Wana maumivu baada ya kushindwa kesi ya maritime na Somalia 😃😃😃😃Hawa tunaenda nao bampa to bampa mpk waondoke wote humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa, niligindua kwamba wakunya ili waelewe inapasa uende nao kichizi chizi vile wao wako, jamaa co wastaarabu kabisa, hawawezi ku debate kistaarabu, so tunapiga panapouma hata kule twitter mwendo ni huu huu vitasa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunataka picha mpya hizi zimeshazeeka.