Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 ile pesa KRA imekusanya hewa ziko wapi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aisee yani tunazidi kuwadidimiza na mabisu ya koo, hatuna huruma hata kidogo, hapana kucheka na nyani this time.
 
Katiba haimruhusu, yeye alichukua madaraka chini ya miaka mitatu ya Magu. Hivyo inahesabika kuwa huu ni muhula wake kamili .

Kama angechukua baada ya miaka mitatu ya Magu basi kikatiba angemalizia muda uliobaki na kuendelea na mihula yake mingine miwili.
 
Mambo mengine hayakuhusu unaachana nayo.
Pelekeni katika majukwaa yenu uone km nitakuja hko..
Lkn mkipost hapa na quote tu kulingana na uhalisia wa mambo, mama km ni mzanzibar ni mzanzibar tu wala hakuna cha kumbabaisha..
 
Nimewapiga mwana ukome ili msirudie tena kwenye huu uzi, labda mkashindane na ndugu zenu South Sudan, Congo na Uganda.
Umetupiga ama umepanic..
Turkana ndio imekufanya mpka upost highways[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…