Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,763
Plan ipi ndugu?
Such a plan can't be hidden and there is no public consensus on possible validity of these rumors largely disseminated by your likes.
Such, only exists in the evil minds filled with hate and ONLY HATE.
Raisi si vyema kusema hivyo..inawezekana amelenga umoja wa zanzibar lkn karibu kwa upande wa bara...yeye ni Mtanzania .Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...www.jamiiforums.com
Kwanza malizie maghorofa ya udongo ndio muanze kitu cha steel and glass kama cha mwanzaMwanza airport tunawajengea sisi
Aendelee kutumia karatasi asitoe kichwani hana uwezo huo ataharibu.Raisi si vyema kusema hivyo..inawezekana amelenga umoja wa zanzibar lkn karibu kwa upande wa bara...yeye ni Mtanzania .
Naona Tz inawakilisha vyema EA kwenye mchezo unaopendwa zaidi duniani.
Nimekuja kugundua kwamba kila kitu tuko juu hapa EA na nchi nyingi za Afrika hazituwezi, vitu on ground vinajieleza, huoni Wakenya wanakimbilia Tz kufundisha?Maana halisi ya functioning state with sound economy you see tangible things on the ground not on papers.
Teachers in Tanzania Richer Than Kenya? Lucrative Minimum Amount Tanzanian Teacher Earns Monthly
pmeja
Oct 11, 2021 12:23 PM
A past class session-Courtesy
Across the world, many people believe teachers are the least paid civil servants. However, this is not always the case.
Some countries reward their teachers by paying them good money. Tanzania could be one of the countries in Africa that pay their teachers well.
According to reports from the Swahili-speaking nation, the least paid teacher takes home more than Sh30, 000 every month.
Clouds TV on Monday hosted Tanzania's Teachers Association's Secretary, Deus Seif, who confirmed that Tanzanian teachers are paid well.
According to him, the least paid Tanzanian teacher takes home Tsh700,000 every month, which is equivalent to Ksh33,600 when converted as per the current exchange rate.
He noted that teacher's salary depends on job groups, with the low ranking job group earning over Ksh33,000.
However, the teachers are then supposed to remit some amount to the union.
"Kima cha chini cha mshahara wa Mwalimu Inategemea ni kuanzia 700,000 kwa hiyo anakatwa 2% ya mshahara wake kwa ajili ya kuchangia chama. Kwa mwezi chama kinapata Bil. 2 au 3 na hizo hela zikishaingia asilimia 15 ya hiyo fedha inakwenda shuleni," he said which loosely translates to
(The salary for a teacher is based on job groups, the minimum amount starting at 700,000, 2% of the salary is deducted and submitted to the teachers' union. In a month the union receives Tsh2 or 3 billion and with that amount, 15% of that money goes to school)
In Kenya, the least paid teacher according to the recently restructured job groups takes home between Ksh25,692 (minimum) and Ksh30,304 (maximum).View attachment 1971081
Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...www.jamiiforums.com
Sijawahi ona uwanja wa mpira wenye bati juu maisha hiki ni kituko cha karne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanakuambia bado ipo under construction. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiwa na system ya federali tuwe na elected governors badala ya wakuu wa mikoa na wilaya znz itakuwa mikoa miwili mkoa wa unguja na pemba kila mmoja na governor wake na hii itaondoa msuguano kati ya wapemba na waunguja.Kweli kabisa, hii zenji inatakiwa kuwa mkoa kamili kama mikoa mingine.
Kainuk Turukana Kenya
Maana halisi ya functioning state with sound economy you see tangible things on the ground not on papers.