Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are going to witness a rapid boost on social services which is crucial to the real development ..inayogusa wanachi wengi kwa Mpigo...Magu Alianzisha kwa majengo..the equipments are now following ..plus majengo mengine mengi kama EMDs na ICU
 
kwan natokea huko? nimesema ‘hatuna’ as Tanzanians.. not that i’m a resident in that region!
Mie sijasema umetokea huko nimesema kama Mtanzania (collectively), mtaenda Chato! mbaya nini kwani?
 
Itakua kwa mawazo ya maria sarungi au🤣🤣 wamekufa kina firauni wewe vp kufa ni lazima kwa kila kiumbe sio hiari wala ombi

Yani hofu kubwa ya mkenya ilikua magufuli yani munamuogopa magufuli kuliko njaa na corona
Huyo maria baba yake jaluo mwenye asili ya kunyaland,yule mzee na mungai ndio walioharibu mfumo wetu wa elimu walipokua mawaziri wa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…