Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
Mama Samia suluhu ambaye ni Mzanzibar atakua rais wa Danganyika hadi 2035 sababu huu muhula wa (2020-2025) ulikua wa magufuli. So mama atasimama rasmi first term 2025-2030 alafu amalizie muhula wa pili 2030-2035. CCM watamsaidia kuiba kura kama kawaidaKama umekosa cha kuongea mzee kasuuze vyombo huko
Zanzibar ni kisiwa autonomous maana mdanganyika hawezi kua mzanzibari au kumiliki mali zanzibar lakini mzanzibari anaeza kua mdanganyikaView attachment 1970531Kama zanzibar sio tanzania ni wapi kenya au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napenda kusafiri na mabasi sana,hii itakua poa Sana.Hizi njia nne zikikamilika wazee wa mabasi watakua wanamwaga moto barabarani sipati picha aisee
Zanzibar ni wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisiwa kinachopatikana nchi gani??🤣🤣Zanzibar ni kisiwa autonomous maana mdanganyika hawezi kua mzanzibari au kumiliki mali zanzibar lakini mzanzibari anaeza kua mdanganyikaView attachment 1970531
Ndio nasubiria jibu hapa🤣🤣🤣Akikujibu nitatag
Zanzibar is semi-autonomous!Hebu ngona tuhakikishe 🤣🤣🤣🤣
View attachment 1970543
Ambayo iko nchi gani???Zanzibar is semi-autonomous!
Tanzania ofcourse! Hiyo link uliyoweka inapotosha otherwise umeshindwa kujua tofauti ya autonomous na semi-autonomous!Ambayo iko nchi gani???
Tumfunge congo hapo then tukafosi droo tu madagascar[emoji7][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1970463
Zanzibar is autonomous. Itadeclare independence from danganyika Mama suluhu akimaliza 2035 mark my words.Kisiwa kinachopatikana nchi gani??[emoji1787][emoji1787]View attachment 1970544
Mawazo kama yako ndo yanafanya tunafungwa kila siku kwanini usiwe na ndoto ya kushinda mechi zote? Una uhakika gani kama ukienda na nia ya droo Madagascar watakupa? Taifa stars wakacheze mpira na waende na mentality ya ushindi na si kuanza kupanga matokeo kichwani! Tutafanywa kama Kenya!Tumfunge congo hapo then tukafosi droo tu madagascar
Hiyo katiba ya wapi inakwambia hivyo Samia mwisho 2030Mama Samia suluhu ambaye ni Mzanzibar atakua rais wa Danganyika hadi 2035 sababu huu muhula wa (2020-2025) ulikua wa magufuli. So mama atasimama rasmi first term 2025-2030 alafu amalizie muhula wa pili 2030-2035. CCM watamsaidia kuiba kura kama kawaida
View attachment 1970532
When ????😃😃😃😃😃 ww ni nabii wa githeri auZanzibar is autonomous. Itadeclare independence from danganyika Mama suluhu akimaliza 2035 mark my words.