Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Face mask ni miundombinu[emoji1787][emoji1787]
Ww ni mafiii...sasa km unapewa mpka stupidy mask...kunakitu utakuwa u auwezo nacho..thats why 90% debt to GDP ratio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] fukara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]fukara hao...alfu wanajifanya nao niwatu sana[emoji847][emoji847]
 
Hata kusoma hujui[emoji23][emoji23], this is a donation towards poor children and not towards a country like what's happening in Tz. In Tanzania donations are directed to the treasury [emoji23]
Toa mafiii apaa fukara nyie...sasa huoni mnatakiwa mfanyiwe donation [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fukaraa wahedi
 
Ww ni mafiii...sasa km unapewa mpka stupidy mask...kunakitu utakuwa u auwezo nacho..thats why 90% debt to GDP ratio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] fukara
50% internal debt[emoji1787][emoji1787]
 
Tutole ujinga apa...chakula tuwalishe na mtupigie kelele...kitu mnajua ni kukopa ...alafu mko apa kutuongelea [emoji23][emoji23][emoji23]
Hta mwanza airport itabidi ikiisha tuwape km donation tu
 
Dar-Arusha
Dar-Dom
Dar-iringa
Kujengwa njia nne! That's great!
Hii kasi tuliyochomoka nayo sio ya ukanda huu ni ya Europe, hii nchi alitakiwa mtu mmoja wa kutuamsha kutoka usingizini zen yeye akapumzike kwa amani, na ndivyo ilivyokuwa kwamba huyo mtu cku zote atafanywa kuwa benchmark na watakaofuata wote watapimwa kulingana na alichokifanya huyo mtu, asante sana Mungu baba, wewe ni mwema cku zote kwani sasa tumeiona iliyo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…