Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

si Mlisema sisi tukimbie mpira tuwaachie nyie!alafu mnaanza kulia lia[emoji136][emoji136][emoji136]Kwani wakenya ni kila kitu hapa Africa mashariki??
Kenge huwa husikii hadi damu ikutoke.

Kwa hiyo mnataka kujifananisha na Tanzania kwenye mpira?

Hamjashinda hata gemu moja mnadroo hadi na Rwanda [emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie kwenye mpira ni farmer's league.

Usisahau pia kuwa timu ya taifa ya wanawake Tanzania leo imefuzu fainali kwenye kombe la COSAFA.

Hivi una habari kuwa bondia namba moja Africa anatokea Tanzania?
 
kabisa unaweza kutapika
[emoji1787][emoji1787]siyo tu kutapika unaweza kujikuta upo mirembe baada ya kushindwa kuzitolea ufafanuzi kwa ndugu na jamaa au hata polisi,ule msemo wa unacheka cheka kama kichaa kaona jalala jipya unaweza kukuhusu [emoji2958][emoji2958]
 
Wevuzi tuliza tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…