Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna nchi zikitajwa tu basi vumbi huwa huwa linakuja kichwani, au ukisikia wanajenga infrastructure fulani taswira ya midongo myekundu inakujia kichwani utake usitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wajinga sana hawa [emoji240] [emoji190][emoji190]
Ninacho furahia ni kuwa wanajua Tanzania inakuja kwa speed Kali! Sema ubishi Tu!
1.infastructure za kisasa ambazo ni clean and beautiful.
2.modern transport system ambazo ni simple and unique.
3.safe,secure and friendly environment ambayo investers Wana enjoy.
Etc etc
 
Kuna kitu nime notice, ebhn Dar kwa sasa imekuwa inajazwa na foreigners toka mataifa mbalimbali ya Afrika, wapo wengi mno wamejaza apartments pale kkoo, na ndiyo maana apartments zinainuka kila siku pale kkoo, nangojea picha mpya za New kkoo tustue mbwa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Biashara ya apartments kwakweli inalipa sana kwa sasa hapa Tz, wageni kila siku wanajazana, wengine kununua mizigo wengine kwa ajili ya matibabu.
 
Nimefika Alexandria ,na KwaZulu natal ,West Africa nimefika abidjan,Kumasi na Lome. West Africa na Kenya ndugu Moja wa mama mmoja wote mnakunya kwa mifuko ya Rambo 😃

Wanaijeria nitawapa credit kwenye kitu kimoja tuu ambacho ni ujenzi wa nyumba za kuishii, wale wajuba aisee wanajuaa ila mijii yao ni utopolo tuu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…