Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


kumbe na wew umeiona hilo bango [emoji1666][emoji1666] tumepost mda mmoja
 

ni kawaida mkuu.. ndo moja ya masharti ya mkataba.. ili kuibrand jina la hio kampuni
 
kumbe na wew umeiona hilo bango [emoji1666][emoji1666]
Tuna viongozi wasioona mbele, hii ligi inahitaji jina lake la kipekee, na sio kila mdhamini akija basi jina linabadilishwa, watu ambao tayari wameshaijua VPL kesho hawatolisikia hilo jina bali ni NBCPL ni upumbavu wakati kuna majina yetu mazuri ya kiswahili yanayoweza kuipatia umaarufu mkubwa ligi yetu.
 
How many people are in darslam and how many people use brt daily???Darslam have running sgr while Nairobi have running commuter rail with sjr project almost done utaniambia nini???
We famba Dar Ina watu wengi kuliko mji wowote hapa EA zaidi ya watu milioni sita, BRT pekee Ina basi 210 . hizo hapo ni basi 70 zimeongezwa last three months, kwa siku ni maelfu ya abiria wanatumia hizo buses, and what you don't know Dar also has commuter rail👇 . And guess what hizi zote BRT system pekee Iko na phases 6 .. phase 1 is done, phase 2 is U/C, an anytime soon we are going to start phase 3&4 together.. DSM BRT na commuter rail tu Hadi vivuko na boti vinatumika kama vyombo vya usafiri . Dar sio size yenu nyie *******
 

Mkuu things have changed a lot kwa upande wa watu, individuals wamepiga hatua sana..
I see Greg areas kwenye siasa safi na uongozi, we have a lot of wrong people in wrong jobs, we have a long way to go.
 
ni kawaida mkuu.. ndo moja ya masharti ya mkataba.. ili kuibrand jina la hio kampuni
Si kwasababu tunawadekeza unadhani wao watafanyeje? Lkn tukiwa na msimamo tutaipa jina hii ligi na mdhamini atabaki kuwa mdhamini na kila mtu atajua, pale England ligi yao inaitwa EPL japo kuna mdhamini mkuu Barclays, kule Spain ni La liga hata iweje haibadiliki, Germany ni Bundesliga haibadiliki, sasa cc tunakwama wapi kutafuta Identity? Hili nalo mpk tusubiri kuambiwa na wazungu mkuu?
 
that old wagon the commuter your telling me?dar labda Mombasa mzee
 
Mna hayo mambo yote ile umasikini bado ni tatizo kubwa huko kwenu? Huoni hicho kinaya?
 
Atc inaenda mpaka Guanzhou ona jinsi ulivyokuwa hujui habari za Tz, commuter rail zipo on 3 lines na mpaka hapo i am 100% sure kuwa hujui chochote kuhusu tz ila unahadithiwa na asiyejua.
 
Is that old wagon the commuter your telling me?dar labda Mombasa mzee
We maku usinikimbie kwenye point wew, umeleta bla bla zako kwamba eti commuter rail yenu ni sawa na BRT system yetu tu (vyenye zinasafirisha abiria), kwanza nikuulize mmeingiza behewa ngapi za hiyo commuter rail yenu unayoipigia kelele hapa, Ili tupime ni mfumo gani wa usafirishaji unachochea uchumi.? Nikakuongeza kwamba sio tu BRT hata hizo commuter rail tunazo, na sio havyo tu na vivuko tunavyo, acha kujitia ukichaa eti unikwepe, huwezi kunikwepa Mimi we punguani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…