We ndugu kuwaga na staha, ukitaka kuusema ubaya wa JPM mzee ongea uwezavyo lkn rudi angalia clips zote za JPM Since Campaigns mpk anakuwa Raisi na mpaka za msiba wake halafu jiskilizie rohoni utakuta unakuja hapa kupost kinyume na ulichokisense rohoni mwako, that's why, tunakuangalia tuuu, kisha tunasema inhiiiiiiii.... Utamkumbuka tu iwe kwa kutaka au la! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji120][emoji120][emoji3]Acha kulia Lia weka hesabu we mbuzi au mwambie huyu hapa chini ajusaidie [emoji116]
View attachment 1963047
View attachment 1963048
Fika hapa kwanza[emoji3]Mods kima huyu anatukana fanyeni yenu..
Utakufa kwa pressure wewe msukule..[emoji116]
View attachment 1963050
Ila mbeya nahisi magorofa yanaweza kuwa sawa na Manispaa ya Moshi tu auBeauty scenarios of Mbeya City [emoji116]
View attachment 1963056
View attachment 1963057
View attachment 1963058
View attachment 1963059
View attachment 1963061
View attachment 1963062
View attachment 1963064
View attachment 1963065
View attachment 1963066
View attachment 1963067
View attachment 1963068
View attachment 1963069
View attachment 1963070
View attachment 1963071
si mlisema hamtumii data za mabeberu😄😄😄vipi tenaHutaki data au unapingana na data sasa?
Itachukua Kenya zaidi ya miaka 100 kuwa na concrete jungle kama hii.
Hiii wacha utani! wacha kuropoka mzee, Mbeya hamna mpango miji kabsaaa tena nashangaa kunaitwa jiji! Fedha ipo ila nadhani mentality ya wahusika! Yani Kilimanjaro hata vijijini kumepangika bomba kuliko Mbeya city!Ila mbeya nahisi magorofa yanaweza kuwa sawa na Manispaa ya Moshi tu au
Usawa kivipi? Idadi wingi au urefu?Ila mbeya nahisi magorofa yanaweza kuwa sawa na Manispaa ya Moshi tu au
Vihela vichache Sana hivyo ,subiria taarifa ya desemba utaona moto wa Mama.Fika hapa kwanza[emoji3]View attachment 1963139View attachment 1963140
Rohoni mwangu 😝😝😝😝We ndugu kuwaga na staha, ukitaka kuusema ubaya wa JPM mzee ongea uwezavyo lkn rudi angalia clips zote za JPM Since Campaigns mpk anakuwa Raisi na mpaka za msiba wake halafu jiskilizie rohoni utakuta unakuja hapa kupost kinyume na ulichokisense rohoni mwako, that's why, tunakuangalia tuuu, kisha tunasema inhiiiiiiii.... Utamkumbuka tu iwe kwa kutaka au la! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji120][emoji120][emoji3]
Hatutaki machinga tunataka wafanyabiashara,machinga ni matokeo ya sera za Uchumi zilizofeli za Mwendazake.Mkiambiwa acheni machinga wapambane ila muweke mazingira yao vema oooh mwendazake, mnafikiri king'amuzi wataokota we Opportunity buana [emoji1]
Naona thamani ya pesa kenya imeshuka sana
😃😃😃😃
Hii nchi ina malazy wengi yaani hao wenye visimbuzi ndio angalau ni productive..Kwahyo wewe jamaa unataka ndani ya familia ya watu kumi kila mtu awe na kisimbuzi chake!?? #Zero brain
Man stick to Kiswahili tu 😂 😂 😂 😂See how your fool...first dont ever try to learn how to insult some one though me kid[emoji51], second the only way to say the truth is as if you were in the event, if not better to shut the fck up...and 3rd we dont give a dem about you forks...your fellow have been here for real long time,ask them if they experience that rabbish you try to slit here[emoji1784][emoji1784]
Taratibu wazee wa legacy watamuelewa Chief Hangaya
Hawa si Wana chuki na Chief Hangaya na kwenye mioyo yao wanapenda Sana afeli ndio maana wanamtukana mara waseme hamna kitu nk..Wachaneni na Opportunity Cost. ni ninyi ndo mnafanya kumchokoza. Mi nampenda Oppnty Cost, coz yee ni mtanzania msema kweli. na msema kweli siku zote huwa hakubaliki. but yee atazidi kuwatifua na ukweli kila leo, kila uchao
Sijaona watu wa canal na free to air receiver [emoji23][emoji23][emoji23]Na wanatumia dish na cable umewahesabu sijapata kuona jitu fala kama hili yani hata kupiga takwimu hajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Star times yenyewe in watu million 2 tayari