Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jibu swali, nchi gani inaongoza kwa njaa hadi kupewa chakula cha msaada?

Jibu swali, nchi gani inaongoza kwa njaa hadi kupewa chakula cha msaada?
My take:ukipata kenya hapo unitag🤣🤣🤣and bydha am be seeing naijeria in that list and naigeria is 100× better than that shithole country???
 
Nigeria is 100× than Tz interms of what? Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kulinganisha Nigeria na Tz?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nigeria is 100× than Tz interms of what? Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kulinganisha Nigeria na Tz?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa dangote akija kuwekeza huko mnashangilia Kama mechi ya Simba alafu nyuma yake mnasema nchi yenyu ni Bora kuliko kwao🤣🤣🤣akili iko Sawa???
 
Sasa dangote akija kuwekeza huko mnashangilia Kama mechi ya Simba alafu nyuma yake mnasema nchi yenyu ni Bora kuliko kwao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akili iko Sawa???
Hivi wewe mbona hueleweki?, Dangote na Nigeria Kama nchi vina uhusiano gani?,
 
View attachment 1960506
Wakunya wataumia sana. Msubiri 50 yrs ijayo ndio mtakuwa nayo
Tofauti ya Dar na Nairobi, Dar inajengwa miundombinu bora kila pande, Nairobi wanajenga miundombinu ya kusafirisha magari na sio watu, maendeleo ya Nairobi yote yanaelekea eneo moja...

Ukifika Nairobi inapaonzia Express way na Inapoishia ndio mwanzo na mwisho wa Nairobi..

Dar iko tofauti sana, ilipo ubungo na Linapojengwa Daraja la Salender, Kigamboni na njia inayopita SGR ni mbali sana, lakini kila sehemu kuna miradi mikubwa mikubwa

Nitafanya Survey kwenda kutembea Dodoma
 
 

Attachments

  • Screenshot_20211002-195829.jpg
    66 KB · Views: 23
  • Screenshot_20211002-195829.jpg
    66 KB · Views: 23
  • Screenshot_20211002-195829.jpg
    66 KB · Views: 24
  • Screenshot_20211002-195829.jpg
    66 KB · Views: 24
  • Screenshot_20211002-195829.jpg
    66 KB · Views: 24
Aisee umeongea point kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…