niliuliza wangapi wamekufa hamkunijibu.., propaganda, facing isn't death, and it is not necessarily it, a risk.., mnatamani sana iwe mbaya lakini wapi, Kenya sio fukara kama TZ.., janga likitokea kwenu mtahami nchi wote, mko hovyo sana.., software yenyu ndio mbovu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu wamekaa wanajiongopea kwamba eti tuna export food stuff kwao, mfano mpunga na mahindi kumbe wao ni customer wetu wa kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanini Kenya haiwezi kujitegemea kwa chochote? You are crippled dependant on everything yet yapping here superpower [emoji28][emoji28][emoji28]
Kenya hamna kitu mkuu, wanatuheshimu na kutuogopa Sana, tukiamua kuwafungia milango hawawezi kumaliza mwezi mmoja bila kuomba msamaha, uchumi wao hauna mizizi kabisa, "Uchumi janja janja".Alafu wamekaa wanajiongopea kwamba eti tuna export food stuff kwao, mfano mpunga na mahindi kumbe wao ni customer wetu wa kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si tuliona enzi za Magufuli alikuwa wakileta fyoko fyoko anafunga boda, jamaa wanatuma mtu aje kuomba msamaha baada ya kugundua Magu yupo serious ikabidi Rais wao apige magoti, Kenya hawana jeuri ya kutunishiana na Tz na co Kenya tu bali vinchi vyote vya ukanda huu, cku Tz ikikumbwa na njaa juwa kwamba East and Central Africa imekumbwa na njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya hamna kitu mkuu, wanatuheshimu na kutuogopa Sana, tukiamua kuwafungia milango hawawezi kumaliza mwezi mmoja bila kuomba msamaha, uchumi wao hauna mizizi kabisa, "Uchumi janja janja".
kwa upande wa zege yao iko poa lakini sina uhakika na ubora,ila kwa upande wa vituo vipo kimaandazi si kivileeni mim tu naona vituo viko chini? nimejaribu kufikiria vile vya gerezan na hiv naona hiv vya brt 2 viko chini.. au ni picha tu
Yaani hapa hapa EA kuna nchi mfumuko wa bei unafika hadi 6%!
Wakuu amkeni imevuja hukuuu locomotives zetu za MGR ni nzuri na quality kuliko diesel SGR za Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Courtesy: Dotworld
View attachment 1958557View attachment 1958558View attachment 1958559
Kunyaland bila Tanzania haiwezi kumakiza siku 1 bila kukata moto, wanavyoforce uhusiano na sisi sio kwa kupenda bali situation inawalazimu 😅😅😅Alafu wamekaa wanajiongopea kwamba eti tuna export food stuff kwao, mfano mpunga na mahindi kumbe wao ni customer wetu wa kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa jinsi ninavyowajua hawa jamaa wao ndiyo wangekuwa na potential kama zetu tungekoma EA, sema Mungu fundi sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kunyaland bila Tanzania haiwezi kumakiza siku 1 bila kukata moto, wanavyoforce uhusiano na sisi sio kwa kupenda bali situation inawalazimu [emoji28][emoji28][emoji28]
Huu mjadala wa SGR tumeshaufunga, tumemuagiza Geza awaombe mods wabadili ile title ya cost comparison iwe Tanzania MGR vs Kenya SGR, tunasubiri mrejesho lasivyo itakuwa haina maana na haileti logic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee.Misosi inayotambulika kitaifa [emoji1787], Hamna hata dagaa haijatajwa ? Ni aina tatu tu za Tembele tumekua sungura[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1958566
Alafu hiyo 1.7% ya sugar it means Wakenya wengi vitu kama chai kwao ni anasa au cjaelewa vzr wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Misosi inayotambulika kitaifa [emoji1787], Hamna hata dagaa haijatajwa ? Ni aina tatu tu za Tembele tumekua sungura[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1958566
Dah wangekuwa wanatunyea kichwani 😅😅😅 laiti wangekuwa na nusu tu ya kilichopo Tanzania, tungekoma 😅😅😅Kwa jinsi ninavyowajua hawa jamaa wao ndiyo wangekuwa na potential kama zetu tungekoma EA, sema Mungu fundi sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]