Nairobi Gossip Club
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 503
- 432
looks beautiful though I don't see the new parliament building there!!!seems an old photo but perhaps am suggesting the green spaces should be protected at all costsView attachment 1956593
Jiji la Nairobi
[emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtoto wa kiume unacatch feelings hiv? ukishikwa tako je.. si utalegea[emoji23]
Nishai save hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1956593
Jiji la Nairobi
Hao walioanzisha hayo mambo na yamewashinda, tangu mwaka 1776 hakujawahi kutokea Rais wao akawa mwanamke na hata anaposhinda kama Hilary hapewi itakuwa Tz inayoongozwa na mwanamke?Mzee upo wapi? wanawake wangapi wanadhulumiwa mirathi ya waume zao Tanzania? Umiliki ardhi kwa wanawake ukoje in general? Huko Usukumani ukiwa mjane wanakuzushia uchawi na kukuua! Gender inequality ipo and very evident Tanzania na Africa at large!
Wakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central Africa"looks beautiful though I don't see the new parliament building there!!!seems an old photo but perhaps am suggesting the green spaces should be protected at all costs
Obama was a very great Man, hakuwa anacheka ovyo ovyo kama mjinga[emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwahiyo unyanyasaji wa wanawake USA ni zaidi ya Tanzania?Hao walioanzisha hayo mambo na yamewashinda, tangu mwaka 1776 hakujawahi kutokea Rais wao akawa mwanamke na hata anaposhinda kama Hilary hapewi itakuwa Tz inayoongozwa na mwanamke?
Unaniuliza mimi tena, c tunakubaliana mambo on ground au?kwahiyo unyanyasaji wa wanawake USA ni zaidi ya Tanzania?
Nataka upime na kuona kama upo sahihi!Unaniuliza mimi tena, c tunakubaliana mambo on ground au?
Unataka on paper au ground.Nataka upime na kuona kama upo sahihi!
Wakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central AAfri
since when slums ikawa na green spaces according to your shallow arguments๐๐๐Wakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central Africa"
Mtu mweusi kule US ni mavi, juzi tu hapa kauliwa na polisi kwa kukandamizwa shingo yake mpk kafa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa zaidi ya maigizo tu, wanaua viongozi wa mataifa ili kuchukua mali za nchi nyingine, hawawaheshimu wanawake mpk hivi tunavyoongea, hakuna Rais mwanamke amewahi kuongoza nchi ile na hatotokea kwa vizazi hivi, alafu anatokea mtu anakuambia demokrasia wkt walioanzisha tu wameishindwa.Nataka upime na kuona kama upo sahihi!
Kwani Kenya kuna kitu kinashindikana? Wewe ulikuwa unajua kwamba uko Kenya mnapanda mahindi [emoji535] juu ya flyover [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]since when slums ikawa na green spaces according to your shallow arguments[emoji136][emoji136][emoji136]
Yani unaposema gender inequality unamaanisha nn hasa hapoMzee upo wapi? wanawake wangapi wanadhulumiwa mirathi ya waume zao Tanzania? Umiliki ardhi kwa wanawake ukoje in general? Huko Usukumani ukiwa mjane wanakuzushia uchawi na kukuua! Gender inequality ipo and very evident Tanzania na Africa at large!
So because the west brought Christianity and they now promote many things against the will of God,we should also drop it because they preache what they don't practice???? and you call yourself learned ๐ฎ๐ฎ๐ฎMtu mweusi kule US ni mavi, juzi tu hapa kauliwa na polisi kwa kukandamizwa shingo yake mpk kafa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa zaidi ya maigizo tu, wanaua viongozi wa mataifa ili kuchukua mali za nchi nyingine, hawawaheshimu wanawake mpk hivi tunavyoongea, hakuna Rais mwanamke amewahi kuongoza nchi ile na hatotokea kwa vizazi hivi, alafu anatokea mtu anakuambia demokrasia wkt walioanzisha tu wameishindwa.
Who brought that phrase "the will of God"So because the west brought Christianity and they now promote many things against the will of God,we should also drop it because they preache what they don't practice???? and you call yourself learned [emoji706][emoji706][emoji706]