Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
Kutoka Limuru kwenda joska Kamulu ni another 70km. Na Thika kwenda Kitengela 70km. Zote ni towns ambazo Nairobians wanacommute kila siku kwenda na kutoka cbd.kabisa yaani hakuna,upo sahihi sana sijui kwanin kwanini hiyo city ya dar iko ivo kwanini wasituige sisi wakenya venye tunafanya kwani tuko very classic kwa hii world.
Unajaribu kunikimbia lakini ntakukamata tu huna ujanja mana unalazimisha kijani iwe njano .. mfano πWeka nizihesabu na floors zote..., Dar tunaijua., deceptive perspective..,
View attachment 1955897
Eti three times Nairobi.., π π π π ..,
View attachment 1955903
kabisa mbona wanaelewa tu,nairobi ni another level tupo vizuriKutoka Limuru kwenda joska Kamulu ni another 70km. Na Thika kwenda Kitengela 70km. Zote ni towns ambazo Nairobians wanacommute kila siku kwenda na kutoka cbd.
Nairobi metro imesambaaa kila eneo sio kama dar imezibwa na Indian Ocean pande moja.View attachment 1955928
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weka wide angle unangoja nini kilaza? drop it here, Mombasa size yenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .., zaidi ya hapa hakuna kingine Dar.., propaganda usiniletee, pelekea wenzako kule vijiweni..,
View attachment 1955863
Hesabu za hizi sehemu za Mombasa na Kk uone haziachanii mbali kwa idadi, pengine muonekano tu.,
Mombasa
View attachment 1955865
View attachment 1955866
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weka nizihesabu na floors zote..., Dar tunaijua., deceptive perspective..,
View attachment 1955897
Eti three times Nairobi.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
View attachment 1955903
hapa pamechoka sana π π π π π .., rekebisha Dar..., π π π π[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1955952
Jana nilikua hiyo mitaa hapako hiv now, pameshakamilika bado kuwekwa lami tu tena usishangangae November tu watu wakaanza kutumia hiyo barabara, tabaka la kwanza la lami nimeshawekwa+taa ndio wanamalizia kuweka, walk walys zilishakamilika, ule mwenge wa uhuru kwenye nguzo ndefu zaidi unakaribia kuisha ujenzi wake, wakenya wakae mao wa kula tu kwa usumbufu tutakao wapa kwa hii barabara, soon ikifunguliwa
Anza kuhesabu hapa., sio old CBD wala Westlands, Kilimani or UpperHill, hizi nakuondolea., nakupa hizi areas tu.., anza kuhesabu tuone..,Unajaribu kunikimbia lakini ntakukamata tu huna ujanja mana unalazimisha kijani iwe njano .. mfano πView attachment 1955921hii picha Ina gorofa zaidi ya thelasini hapo na karibu zote ni above 10 floors, na hii picha ni ya zamani, kwasasa hapo kuna gorofa za kuzidi ndio mana nakwambia kk ina gorofa nyingi than all ur CBDs combined, ukibisha leo tuzihesabu, CBDs in NAIROBI ni empty sana kulinganisha na Dar bro in terms of buildings labda mapori Ila majumba.. leta picha ya CBDs zenu tuhesabu idadi gorofa zenu Ili tulinganishe na kk
tunakuelewa Geza wengine hatutaki kutukanwa ila kuna ujinga mwingi humu.nice one! Ukisema kitu kuna watu mabingwa wa kuku-count out! Kuna Deep Learning and smart Learning pia! All needs ML pia neural Network as foundation! Wakati mwingine mabifu yana enlight watu..! π€£π€£ππ
Magufuli alitakiwa a-consult wataalamu na si kujiamulia ku-print! Kwa taarifa yako ule mradi alipewa inner circle ya Magufuli atengeneze vitambulisho vile! kwa jinsi vilivyo haviwezi kuwa upgraded hivyo unavyodai. Kuna upigaji msione tunakaa kimya humu. Magufuli hakuwa msafi hivyo wizi ulikuwa unafanyika na kwa innercircle wake bila kuhojiwa.Mkuu hata maendeleo ya kila jambo hayajatokea overnight . Ndio maana tulipokua o'level tulisoma Dalton atomic theory japokua alikua wrong. Hata simu unayotumia wanaupgrade kuanzia OS whether it's android or IOS na application sana update frequently . Likewise kwa vitambulisho idea ilikua nzuri we need to upgrade that ID hadi iwe integrated wafanyabiashara wadogo waweze kupata may be health insurance na baadae wajiunge na social security fund. Inabidi tuwe positive na kusaidia wazo likue hata elon mask hayupo peke yake kwenye lab zake. Maendelo hayawezi tokea tu . Ni stage by stage or step by step. Don't criticize everything
watu wepi hao? Chatogang?Watu wanamtibua mama aisee! Kuna message mtu unaweza kuisoma kwenye hii speech!
MY TAKE
Aendelee kukaza #mfumodume# is real!!
Hiyo biashara imepitwa na wakati sasa tutaanza kulazimisha watu kuvaa barakoa hata kama kovidi hakuna si unaona chanjo watu wamechoma ila mzungu kalazimisha wave barakoa hata kama wamechanjwa maana hiyo ni biashara imesha jengewa na viwanda huko ulaya
Kamwe siwezi tamani Nairobi pakue hivi π π π π π π Dar is Slum, flats kwa wingi kati kati ya CBD.., kha! hii ndio unasema 3 times Nairobi π π π πUnajaribu kunikimbia lakini ntakukamata tu huna ujanja mana unalazimisha kijani iwe njano .. mfano πView attachment 1955921hii picha Ina gorofa zaidi ya thelasini hapo na karibu zote ni above 10 floors, na hii picha ni ya zamani, kwasasa hapo kuna gorofa za kuzidi ndio mana nakwambia kk ina gorofa nyingi than all ur CBDs combined, ukibisha leo tuzihesabu, CBDs in NAIROBI ni empty sana kulinganisha na Dar bro in terms of buildings labda mapori Ila majumba.. leta picha ya CBDs zenu tuhesabu idadi gorofa zenu Ili tulinganishe na kk